Bro mbona unajifanya kama hujui.Labda nikupe namba ya jamaa wa tanga. Ila ukweli paypal bila kuwa na docs siyo reliable kabsa siku wakiipiga pin imekula kwako. Labda nikuulize unataka acc ya paypal uifanyie nini. Jibu lako linaweza kusaidia kukupa mawazo mbadara
Kufanya malipo haina shda, kupokea pesa kutoka nje inategemea unapokea pesa kutoka kwa nani, rafiki, biashara, freelancing ndiyo maana nmeuliza labda shida yake inaweza kutohitaji paypalBro mbona unajifanya kama hujui.
Tunahitaji kuwa na account ya PayPal kuweza kufanya malipo na kupokea pesa kutoka nje. Sasa unavouliza eti unataka acc uifanyie nini ni kama unaleta kebehi
nadhani systems kama hizi hua zina changamoto pale wahalifu wakijichanganya humo humo
ila upande wa pili wa shilingi, ni wazo zuri na serikali inafaa kuangalia fursa hii!
Muhalifu bado ataweza fanya mambo yake vizuri tu hata bila paypal. Ni sawa sawa na kusema tuzuie watu kununua magari binafsi sababu wahalifu wanaweza kuyatumia kufanya ujambazi. Hyo sio point yenye mashikonadhani systems kama hizi hua zina changamoto pale wahalifu wakijichanganya humo humo
ila upande wa pili wa shilingi, ni wazo zuri na serikali inafaa kuangalia fursa hii!
Muhalifu bado ataweza fanya mambo yake vizuri tu hata bila paypal. Ni sawa sawa na kusema tuzuie watu kununua magari binafsi sababu wahalifu wanaweza kuyatumia kufanya ujambazi. Hyo sio point yenye mashiko
ndio maana nikasema upande wa pili wa shilingi, kwa maana serikali itambue itasaidia zaidi jamii huku ikienda na wakati, uhalifu haukwepeki!Muhalifu bado ataweza fanya mambo yake vizuri tu hata bila paypal. Ni sawa sawa na kusema tuzuie watu kununua magari binafsi sababu wahalifu wanaweza kuyatumia kufanya ujambazi. Hyo sio point yenye mashiko
ndio maana nikasema upande wa pili wa shilingi, kwa maana serikali itambue itasaidia zaidi jamii huku ikienda na wakati, uhalifu haukwepeki!
serikali nyingi huwa zinakuwa na wasiwasi pale hawana access ama jinsi ya ku monitor hizi systems. ingawa system zote hata zilizo kwenye mifumo na taratibu sahihi bado zina kasoro na uhalifu upo pale pale.
Mkuu mtandao gani unaruhusu kutoa pesa Skrill hapa Tanzania?Anza kutumia skrill.
View attachment 1727557
Instantly fedha unaihamishia kwenye simu yako.
Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
2026! | NUNUA BIDHAA TOKA MATAIFA MBALIMBALI DUNIANI NA MZIGO UTAKUFIKIA MAHALA ULIOPO UTANGULIZI Je, kuna bidhaa unataka kununua toka nje ya nchi kwa sababu hapa Tanzania umetafuta na hukupata? Je, kuna huduma unahitaji kulipiwa mtandaoni? Kama jibu ni NDIYO, basi hii thread inakuhusu...www.jamiiforums.com
Fx kwenye huo mzunguko inapoteza elaNaunga mkono hoja. Online jobs nyingi malipo kupitia paypal. Mzunguko wa paypal->safaricom->vodacom unachosha pamoja na transfer stage zote mbili ni hapo kwa hapo.