Ombi kwa serikali: Kila kituo cha mabasi kuwe na ofisi za LATRA

Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
5,304
14,913
Kutokana na usumbufu wa tunaopitia sisi abiria iwe vituo vya daladala au vya mabas ya mikoani hasa swala la nauli kupanda kiholela tungeomba afisa mmoja wa latra awepo kwenye kila kituo ili kutatua tatizo la upandishaj wa nauli tofaut na kiwango kilichowekwa na mamlaka hyo.

Sio kila Jambo mpaka Rais awaseme au awaambie mpo kwa ajil ya usafir wa nch kavu bas wajibiken sehemu hizo na sio ofisini.
 
Back
Top Bottom