Ombi kwa Rais Magufuli: Wananchi hatutaki Passport za rangi ya blue

FAKE NEWS

Member
Feb 16, 2017
59
160
Hivi ni nani aliyekuja na wazo la passport ya rangi ya blue?

Wazo hilo alikuja nalo nani?

Kama ni passports za Africa au Africa Mashariki je kwanini hakukufanyika consultation kujua kama hili wazo litapita?

Halafu hiyo rangi ya blue ni kiashiria cha nini hasa?

Kwani rangi ya kijani ina tatizo gani mpaka tukaletewa hizi passports za rangi za ajabu ajabu?
 
kwani hapo Lumumba mmekatazwa kutumia za kijani?
 
Wanasema inaashiria mwambao wa bahari, lakini rangi ya bluu ni kati ya rang za ovyo kabisa,ukitembea urop na afrika itakuwa ni tz tu kwenye bluu
 
Japo napenda kijani basi iwe na rangi kama ya Uingereza lakini iwe water proof
 
Hivi ni nani aliyekuja na wazo la passport ya rangi ya blue?

Wazo hilo alikuja nalo nani?

Kama ni passports za Africa au Africa Mashariki je kwanini hakukufanyika consultation kujua kama hili wazo litapita?

Halafu hiyo rangi ya blue ni kiashiria cha nini hasa?

Kwani rangi ya kijani ina tatizo gani mpaka tukaletewa hizi passports za rangi za ajabu ajabu?
Rangi ya bahari ya Hindi ili kuuenzi muungano
 
Japo napenda kijani basi iwe na rangi kama ya Uingereza lakini iwe water proof
Basi Uingereza baada ya kujitoa European union nao wana mpango wa kurudia rangi ya passport yao ya zamani ambayo ni Blue.. upo hapo.
 
Hivi ni nani aliyekuja na wazo la passport ya rangi ya blue?

Wazo hilo alikuja nalo nani?

Kama ni passports za Africa au Africa Mashariki je kwanini hakukufanyika consultation kujua kama hili wazo litapita?

Halafu hiyo rangi ya blue ni kiashiria cha nini hasa?

Kwani rangi ya kijani ina tatizo gani mpaka tukaletewa hizi passports za rangi za ajabu ajabu?

Haya haya wanaojua kingereza tunawaomba mtutafsirie maana ya maneno haya kwa kiswahili kuhusu rangi ya bluu

swatches-blue.gif
Blue

Blue is the color of the sky and sea. It is often associated with depth and stability. It symbolizes trust, loyalty, wisdom, confidence, intelligence, faith, truth, and heaven.

Blue is considered beneficial to the mind and body. It slows human metabolism and produces a calming effect. Blue is strongly associated with tranquility and calmness. In heraldry, blue is used to symbolize piety and sincerity.

You can use blue to promote products and services related to cleanliness (water purification filters, cleaning liquids, vodka), air and sky (airlines, airports, air conditioners), water and sea (sea voyages, mineral water). As opposed to emotionally warm colors like red, orange, and yellow; blue is linked to consciousness and intellect. Use blue to suggest precision when promoting high-tech products.

Blue is a masculine color; according to studies, it is highly accepted among males. Dark blue is associated with depth, expertise, and stability; it is a preferred color for corporate America.

Avoid using blue when promoting food and cooking, because blue suppresses appetite. When used together with warm colors like yellow or red, blue can create high-impact, vibrant designs; for example, blue-yellow-red is a perfect color scheme for a superhero.

Light blue is associated with health, healing, tranquility, understanding, and softness.
Dark blue represents knowledge, power, integrity, and seriousness.
 
Wanasema inaashiria mwambao wa bahari, lakini rangi ya bluu ni kati ya rang za ovyo kabisa,ukitembea urop na afrika itakuwa ni tz tu kwenye bluu
European Union passports ni nyekundu, USA ni blue...
 
Back
Top Bottom