Ombi kwa ITV, tunaomba mdahalo urudiwe

Ombi kwa ITV, tunaomba mdahalo urudiwe

Waweke youtube. Sijui kwanini ITV hawweki content zao Youtube. Wanayo youtube channel lakini huweka ka-clip ka dakita tatu kampja kwa siku. Mnatia aibu. Jifunzenni lwa wakenya wanavyoweka kila kitu yotube
 
Kitu cha ajabu na kusikitisha kisimbuzi cha TING/AGAPE waliondoa signal ya ITV kabisa nadhani kwa maagizo ya wakubwa,kwanini CCM hawataki kujifunza unapotumia nguvu nyingi kuzuia watu wasipate au wasijue habari fulani ndivyo unawafanya watu hao wawe na shauku kutaka kujua hicho unachokificha,ni dhahili sasa watanzania wataanza kuichukia CCM kwa makosa yao wenyewe
 
Nimeongea na itv wamesema wamepokea maombi mengi mdahalo urudiwe wanapeleka ktk uongozi wa juu watatujulisha kesho asubui.hawa interahamwe watakoma

jambo jema mkuu, lets hope for the best
 
Wana jf, mlioangalia mdahalo uliofanyika leo mchana kupitia ITV mtakubaliana na mimi kuwa ulikuwa wa bora na wakizalendo. Si vibaya ukarudiwa kuonyeshwa tena yaani recorded kwa mafufaa ya wananchi wazalendo.


Binafsi nnaupongeza uongozi wa IPP media kwa kujitolea kufanya kazi ambayo ilipaswa kufanywa na televisheni ya taifa ,Mola na awaongezee pale palipopungua sababu mnachokifanya hata kipofu amekiona (kwa kusikia na kutafsiri).
 
Warioba anazidi kumtoa ulingoni kikwete
 
Binafsi nnaupongeza uongozi wa IPP media kwa kujitolea kufanya kazi ambayo ilipaswa kufanywa na televisheni ya taifa ,Mola na awaongezee pale palipopungua sababu mnachokifanya hata kipofu amekiona (kwa kusikia na kutafsiri).

ipp media utadhan ndo vyombo vya umma.wacha waendelee kuwa superbrand.poor cm+startv
 
ipp media utadhan ndo vyombo vya umma.wacha waendelee kuwa superbrand.poor cm+startv


Star tv wanajitahidi kuwabeba viongozi wa Serikali lakini imekuwa kama mzigo wa misumari ,asanteni Watanzania kwa kukataa kudanganywa.
 
Wafanyabiashara wazalendo wapeleke matangazo yao ITV na RadiOne kama shukrani kwa kutoa elimu kwa waTZ
 
Kwa niaba ya ITV na redio one tunasema "Tunasikitika sababu hatuna muda wa kuchezea!!"

Wa kurudia mjadala.
 
Mdahalo wa leo ni somo kubwa na la maana kwa wote ambao rasimu ya Katiba iliwapita pembeni,ni vyema ITV wakaurudia hili wananchi wengi ambao nina uhakika contents za rasimu hii zimewapita kando na kwa uchambuzi huu basi ni somo kubwa kwa umma hata na hao mashabiki wa serikali mbili sasa wanajiuliza na kujishangaa kama kweli uhamuzi wao ni sahihi.
 
Wadau mimi ni mfuatiliaji sana wa midahalo na malumbano ya hoja nasikitika huu nimeukosa kutokana na mishemishe zangu za kujitafutia ridhiki na niliweka king'amuzi cha azam uurecord bahati mbaya umeme ulikatika saa tano kwahyo sijarecord ila mdahalo wa Rose Mwakitwange ule wa Lipumba nimeurecord wote na ule wa prof lumumba nimeurecord wote tatizo ni moja tu kukonveti *.pvr kwenda *.avi software zake hazipo online ingekuwa inawezekana ningeupload hyio midahalo youtube.
~Naunga Mkono Hoja ITV warudie huo mdahalo tupate elimu ya uraia.
 
wana jf, mlioangalia mdahalo uliofanyika leo mchana kupitia itv mtakubaliana na mimi kuwa ulikuwa wa bora na wakizalendo. Si vibaya ukarudiwa kuonyeshwa tena yaani recorded kwa mafufaa ya wananchi wazalendo.
hii ilikuwa semina siyo mdahalo,ni semina nzuri kama watanzania waliosikiliza hawaelewi basi,ila naunga mkono semina hii irudiwe mara mara nyingi ila kuondoa unafiki wa ccm
 
Back
Top Bottom