Njowepo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 9,710
- 2,251
hivi ile kipindi iliangaliwa hata na watu 500 kweli?
hivi ile kipindi iliangaliwa hata na watu 500 kweli?
wananchi wengi wa nchi gani
Acheni uchochezi IPP media isije ikafungiwa kwa uchochezi msaka urais 6 alisema waziri wa habari dk fenellia hafanyi kazi yake;; muwe makini labda muombe cccd na dvdWana jf, mlioangalia mdahalo uliofanyika leo mchana kupitia ITV mtakubaliana na mimi kuwa ulikuwa wa bora na wakizalendo. Si vibaya ukarudiwa kuonyeshwa tena yaani recorded kwa mafufaa ya wananchi wazalendo.
Wana jf, mlioangalia mdahalo uliofanyika leo mchana kupitia ITV mtakubaliana na mimi kuwa ulikuwa wa bora na wakizalendo. Si vibaya ukarudiwa kuonyeshwa tena yaani recorded kwa mafufaa ya wananchi wazalendo.
hivi nyie mmesikia six alivyosema?