Urudiwe tena sio siku moja hata mwezi mbele na anayeweza atengeneze dvd aniuzie ani pm ninunue
Huyu Zuberi kaandaliwa si siri..
hadi rfa (redio free africa)wanataka urudiwe
kweli ulikuwa mkali. nami naunga mkomo hoja
Na mimi pie nipo tayari kununua hizo cd mkuu
Mkuu nimesikitika nilikuwa naurekodi wote mpka mwisho nakuja tafuta file ktk cm silioni kweli nimeamini ccm ni wachawi