Ombi kwa ITV daima: Kesho rusheni matangazo ya bunge live

D2050

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
1,691
2,000
ombi kwa kituo pendwa cha itv daima.kesho rusheni hewani kipindi cha bunge live kutoka dodoma.msijiunge na tbc kama itawezekana

Tunategemea itv mitambo yenu ni imala isiyo penda ufisadi unaofanyika nchi hii.
Tbc tunawajuwa moto utakaowaka kesho bungeni hawatavumilia watakata matangazo.

ITV DAIMA
 

IROKOS

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
8,558
2,000
Mmesahau kwamba hawa mafisadi walipitisha sheria kwamba TV zoote zitakuwa zinarusha habari za bunge kutoka TBCCM??
 

D2050

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
1,691
2,000
Kwa Tanzania, kibali (Leseni) ya kurusha Matangazo ya Bunge wanacho TBC tu.

Kesho mtaipenda tu TBC.
mara zote huwa tunaangalia bunge kupitia tbc,ila wasiwasi wangu kesho watatuzinguwa hawa tbc
 

mpondamali

JF-Expert Member
Sep 5, 2011
444
250
Exclusive rights zote zpo tbc aisee.....ila itv ipambanee kuweka hata corresponts wakutosha endapo tbc itakatika hewani
 

mpondamali

JF-Expert Member
Sep 5, 2011
444
250
Star tv nao watakuwepo kutupa mbivu na mbichi za escrow account saga...tuombe mungu tuu vingamuzi vyote viwe active maaana leo ni fitina tuu
 

D2050

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
1,691
2,000
haya yale nilio sema yametimia tbc haiko hewani tbc tv na tbc radio wote wahuni
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom