Ombi: Kupata wordpress theme nzuri kwa ajili ya company website

themes za wordpress zinauzwa maelfu ya dola. nyingi ni around milioni 4 au 6. unapoonda inauzwa dola 70 ina maana mnashare kuna mwenzako nae atauziwa theme hio hio.

so mtu anaponunua theme dola 70 ukasema ni cheap upo wrong sana na hizo themes ni nzuri kuliko kazi nyingi zenu mnaojiita web designer. ili kufanya comparison vizuri ni vyema mkaeka kazi zenu ili tulinganishe na hizi theme tiuone wapi atapata site nzuri kwa bei inayoridhisha.

Chief, hasara mojawapo umeshaisema kuwa hiyo atakuwa aki-share na watu wengine kibao kwahiyo muonekano wa site yake ukiondoa content utakuwa sawa na site zingine kama elfu moja hivi au hata zaidi.

Issue siyo dola 70 kwa sababu zipo theme hadi za bure kabisa hata kumi hutoi lakini kuna limitation kibao baadaye lazima uzivumilie na wewe unazijuwa. Sasa mtu anahitaji web ya kampuni kwanini asiwekeze?
 
themes za wordpress zinauzwa maelfu ya dola. nyingi ni around milioni 4 au 6. unapoonda inauzwa dola 70 ina maana mnashare kuna mwenzako nae atauziwa theme hio hio.

so mtu anaponunua theme dola 70 ukasema ni cheap upo wrong sana na hizo themes ni nzuri kuliko kazi nyingi zenu mnaojiita web designer. ili kufanya comparison vizuri ni vyema mkaeka kazi zenu ili tulinganishe na hizi theme tiuone wapi atapata site nzuri kwa bei inayoridhisha.

Please Mr Mkwawa, show me a themeforest theme inayouzwa "around milioni 4 au 6", nothing personal, i'd just like to see that 6 million shilling theme. Kazi zangu zipo kwenye site yetu Tanzania's Best Web Design Agency — Watabe Labs - Web Application Development. I am not saying my work is better than themeforest themes but what i am saying is, no matter where you get your theme(s), if you don't have a designer to skin it, Your site will always end up looking like a million other sites on the net, and YES a 70$ site is cheap, actually very cheap and the only way you get it for 70 USD on themeforest is because the creators know that they'll sell in bulk.
 
angalia chini ya bei ya themes ukitaka kupewa licence zaidi ya hiyo ya kawaida ni shilingi ngapi

2014_03_27_10_40_21.png
 
Okay, so that brings us back to the same conclusion, if you need a site that's uniquely yours you need to pay a professional designer to design it, otherwise it will look cheap no matter where you bought your theme
 
Back
Top Bottom