Ombi: Kupata wordpress theme nzuri kwa ajili ya company website

Ombi: Kupata wordpress theme nzuri kwa ajili ya company website

fredie92

Senior Member
Joined
Oct 30, 2012
Posts
133
Reaction score
32
Ndugu!

Ambaye anaweza nisaidia link ambayo naweza kununua theme nzuri ya wordpress kwa ajili ya kutengeneza website ya business/company ambayo inavutia, nyepesi n.k. nitashukuru.

Asante!
 
kaka kuna themes nyingi sana za wordpress ungeandika ladha zako unazotaka hapo umeanza na
1. wepesi

2. je unataka iwe responsive au unataka ya kawaida?
responsive theme ni ile inajiresize automatic kwa kila kifaa unachotumia. mfano website umetengeneza ya kawaida lakini mwenye simu akiifungua inaonekana kama ya simu, mwenye tablet akifunfua inaonekana kama ya tablet.

3.range ya bei

4. ladha nyengine kama mpangilio uweje au kama una website unaijua unataka iwe kama hivyo unaweza eka url yake watu watakusaidia
 
kaka nashukuru kwa kurespond!!!!

yeah iwe responsive pia isiwe na links za owners kule chini(mfano wamiliki wanaweka link zao za kurefer website zao)... iwe na sliders na mengine mengi... gharama hata ikianza $30 mpaka $70 itakuwa poa....

nataka site yangu ionekane very proffessional na expensive!!!

Thanks kaka...
 
kaka nashukuru kwa kurespond!!!!

yeah iwe responsive pia isiwe na links za owners kule chini... iwe na sliders na mengine mengi... gharama hata ikianza $30 mpaka $70 itakuwa poa....

nataka site yangu ionekane very proffessional na expensive!!!

Thanks kaka...

hilo la link za owner chini halina neno wala usijali ukiedit footer tu unazitoa au unaeka unazotaka wewe. wait nikuchekie chekie nzuri.
 
kaka nashukuru kwa kurespond!!!!

yeah iwe responsive pia isiwe na links za owners kule chini(mfano wamiliki wanaweka link zao za kurefer website zao)... iwe na sliders na mengine mengi... gharama hata ikianza $30 mpaka $70 itakuwa poa....

nataka site yangu ionekane very proffessional na expensive!!!

Thanks kaka...

How can a 70$ site look expensive? Anyways just go to WordPress Themes | Website Templates | Create a Website | ThemeForest and get your theme, but if you need something to look expensive you need to pay a designer to work on it.
 
thanks kaka... ni-pm namba yako just incase nitakupigia... pia cheap hosting inaweza ika cost sh ngapi?
 
Kwamba hii fani imevamiwa si unaona mtu ana $70 na anataka web ionekane yenye gharama!

sipendi kutukana... hivi wewe mwanamke au mwanaume? jamaa kanipa link nimefanikiwa sasa wewe huna lolote la kuchangia... ushoga huo... usishobokee kila thread.... umeambiwa $70 ni kwa ajili ya kutengeneza au kununua theme!!! ukiona huna la kuandika usome upite mbona wengi wanapita? acha shobo....
 
Mbona unatokwa na mapovu? sasa ukitukana itakusaidia nini na ni tusi gani utakalotukana ambalo mimi sijawahi kulisikia?.
Hebu angalia alichokujibu zech kwenye hii comment yake au labda kiingereza kwako ni shida, aliuza hivi: ''How can a 70$ site look expensive?'' , je hapo umeelewa nini?, bado akamalizia hivi; ''but if you need something to look expensive you need to pay a designer to work on it''. Kama hujuwi hizo theme forest ndiyo kila siku zech huziponda hapa ila wewe inaonekana una mtindio wa ubongo. Eti umenunua theme! unajuwa madhara ya kununua theme alizo-create mwingine bila kujuwa alitumia nini ku-create hiyo theme?

How can a 70$ site look expensive? Anyways just go to WordPress Themes | Website Templates | Create a Website | ThemeForest and get your theme, but if you need something to look expensive you need to pay a designer to work on it.
 
Ndugu!

Ambaye anaweza nisaidia link ambayo naweza kununua theme nzuri ya wordpress kwa ajili ya kutengeneza website ya business/company ambayo inavutia, nyepesi n.k. nitashukuru.

Asante!

Huu ndiyo utani unaoendelea hapa Tanzania, website ya kibiashara tena ya kampuni mtu anataka kutengeneza kwa dola 70! damn. Kuna kampuni ambazo wapo serious wanatumia mpaka milioni kadhaa kwa ajili ya kudesign LOGO tu! wewe unazungumzia dola 70!
 
themes za wordpress zinauzwa maelfu ya dola. nyingi ni around milioni 4 au 6. unapoonda inauzwa dola 70 ina maana mnashare kuna mwenzako nae atauziwa theme hio hio.

so mtu anaponunua theme dola 70 ukasema ni cheap upo wrong sana na hizo themes ni nzuri kuliko kazi nyingi zenu mnaojiita web designer. ili kufanya comparison vizuri ni vyema mkaeka kazi zenu ili tulinganishe na hizi theme tiuone wapi atapata site nzuri kwa bei inayoridhisha.
 
Back
Top Bottom