Ombi: Jiji la Dar es Salaam lishushwe hadhi

Ombi: Jiji la Dar es Salaam lishushwe hadhi

Tanzania ni developing country watu wengi hawana elimu ya kutosha na mazingira ya biashara si mazuri, pia tatizo la ajira ni kubwa sana hii si kwa Tanzania tu ni dunia nzima.Kujibu swali lako waache wamachinga wafanye biashara zao ktk mazingira yaliyopo sasa hivi Serikali aitaki kuwabughi wamachinga sababu nao wana haki ktk nchi yao wana wateja wao wa kila siku wanao nunua bidhaa zao nao wajipatie kipato na familia zao. Pia hiyo ni nafasi kubwa kwa wamachinga kuja kuwa mamilionea hapo badae kama watatumia masoko yao vizuri.Pia nchi yetu hipo tulivu kwa sasa usikii machinga kubugudhiwa, machinga walikuwa wanachukuliwa kama mtaji wa kisiasa lakini Raisi maghifuri ni mjanja sana ameligundua hili hataki kuwagusa wamachinga amewaachia
Wawe huru kufanya shughuli zao na vutamburisho amewapa hili wawe monitored na walipe kodi kwa wale wenye sifa za kufanya hivyo. Kuna watu walikuwa wanafaidika na hizo tozo wanazochukua kwa wanachinga sasa Magu amebana njia zote, mwanaume yule hatari sana 🤣 sasahivi mafisadi wote hawamtaki Magu wanataka I kesho aondolewe madarakani wafanye yao.Wananchi masikini kama Machinga wanamuelewa sana Magu sababu haijawai kutokea Rahisi aliwapa uhuru wa kufanya biashara sehemu yoyote kama yeye.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nilirudi likizo nyumbani baada ya kuwa nje ya Dar kwa miaka 10. Niliacha Mbezi Beach kuko ushuani.

Kurudi, Mbezi Beach kuna vibanda vibanda kibao pembeni ya barabara, kushageuka uswazi fulani hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili kwa kweli ni tatizo kubwa hata maana ya kuwepo na sheria ndogo ndogo hamna!! Ni sawa kusema vitu vimetolewa chumbani na kuvirundika sebuleni ustaarabu utatoka wapi!?
 
Sasa kama kariakoo yote ipo blocked gari hata baiskeli haiwezi kupita huu sio ustaarabu!! Hatukatai wafanye biashara ila kuwe na angalau utaratibu na barabara zipitike na sio kama hali ilivyo sasa!! Hadi aibu
 
Ni shida kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili kwa kweli ni tatizo kubwa hata maana ya kuwepo na sheria ndogo ndogo hamna!! Ni sawa kusema vitu vimetolewa chumbani na kuvirundika sebuleni ustaarabu utatoka wapi!?
Politics mbaya sana wanasiasa wamefungwa akili na macho kisa kura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ni developing country watu wengi hawana elimu ya kutosha na mazingira ya biashara si mazuri, pia tatizo la ajira ni kubwa sana hii si kwa Tanzania tu ni dunia nzima.Kujibu swali lako waache wamachinga wafanye biashara zao ktk mazingira yaliyopo sasa hivi Serikali aitaki kuwabughi wamachinga sababu nao wana haki ktk nchi yao wana wateja wao wa kila siku wanao nunua bidhaa zao nao wajipatie kipato na familia zao. Pia hiyo ni nafasi kubwa kwa wamachinga kuja kuwa mamilionea hapo badae kama watatumia masoko yao vizuri.Pia nchi yetu hipo tulivu kwa sasa usikii machinga kubugudhiwa, machinga walikuwa wanachukuliwa kama mtaji wa kisiasa lakini Raisi maghifuri ni mjanja sana ameligundua hili hataki kuwagusa wamachinga amewaachia
Wawe huru kufanya shughuli zao na vutamburisho amewapa hili wawe monitored na walipe kodi kwa wale wenye sifa za kufanya hivyo. Kuna watu walikuwa wanafaidika na hizo tozo wanazochukua kwa wanachinga sasa Magu amebana njia zote, mwanaume yule hatari sana [emoji1787] sasahivi mafisadi wote hawamtaki Magu wanataka I kesho aondolewe madarakani wafanye yao.Wananchi masikini kama Machinga wanamuelewa sana Magu sababu haijawai kutokea Rahisi aliwapa uhuru wa kufanya biashara sehemu yoyote kama yeye.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Wenzenu wenye akili hufanya kazi ya kurasmisha informal sector kuwa formal. Sasa ukisema fanya biashara popote pale hii sio sawa. Hatukai kuwa wasifanye biashara ila sio hadi kwenye barabara. Hata sehemu ya kukanyaga mguu hamna na wanauza vyakula sehemu zisizo salama kabisa hii ni hatari kwa afya. Yet mwanasiasa yeye anaona sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa takribani miaka mi3 nilikuwa sijafika posta na kariakoo. Jambo la kustaajabu nilichoshuhudia siamini kabisa. Ni kwamba hii serikali imeruhusu machinga kiwango hicho kilichopo. Yaani machinga wamepanga bidhaa hata sehemu ya kutembea hamna mpaka kwenye space zile katikati ya barabara za mwendokasi. Si karume, si kariakoo, si posta, si ubungo, si Mbagala.

Inshort hakuna utofauti wa mbagala na Kariakoo. Machinga wamefurika huko hata ile hadhi ya jiji sasa haipo na kwa taarifa za mnyetishaji wangu hawa jamaa wameizidi nguvu serikali na hata serikali inawagwaya kulinda kura za 2020. Hivi hakuna wataalamu wanaoelewa effects za informal sector kwenye uchumi kweli?

Wenzetu wanatafuta njia za kutoa informal sector sisi ndo tunaimwagia mafuta ipambe moto. Kilio walicho nacho wafanya biashara wenye milango yao kariakoo nadhani ni kikubwa sana. Kariakoo ni centre of business kwa nchi jirani Zambia, Malawi, Kongo, Burundi, Rwanda ila sasa sidhani kama inahadhi hio ya kuwa center ya biashara.

Hili jiji sasa lishushwe hadhi tu ieleweke.
Yaani mkuu uongee wewe labda.Ila hakuna watu wameharibu Kila Kona ya mji Kama machinga.Wameuchafua mji kabisa.Kila Kona Ni uchafu tu.Ni aibu kwa kweli
 
Wenzenu wenye akili hufanya kazi ya kurasmisha informal sector kuwa formal. Sasa ukisema fanya biashara popote pale hii sio sawa. Hatukai kuwa wasifanye biashara ila sio hadi kwenye barabara. Hata sehemu ya kukanyaga mguu hamna na wanauza vyakula sehemu zisizo salama kabisa hii ni hatari kwa afya. Yet mwanasiasa yeye anaona sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni aibu Kwa Kariakoo ndio hakufai hata sehemu ya kupita hamna
 
Enzi za Utawala wa Warumi Jiji la Israel liligeuka kuwa la biashara za kila namna.
Biashara zilihamia mpaka Hekaluni.
Hekalu lililojengwa na Mfalme Suleimani liliaminika kuwa ni Nyumba ya Bwana Mungu.Lilikua ni eneo Takatifu sana.
Wayahudi kwa kuiga mila za Warumi walilinajisi Hekalu na kulifanya ni eneo la biashara za kila namna.
Palijaa wacheza Kamari, Wanawake walijiuza maeneo ya Hekaluni , vibaka walijaa kila kona ya Hekalu na kupora watu. Matapeli walitapeli watu, wakina mama waliojiheshimu wakipita maeneo ya Hekalu walikua wanadhalilidhwa utu wao. Vijana Wakora walijaa kila kona.
Mwana wa Mungu Masihi Yesu Kristu au Issah Bin Mariam alichukizwa sana na Hali ile ya machinga wa wakati ule kuzagaa na kulinajisi Hekalu takatifu. Yesu aliamua kugeuka na kuwa Komando Kipensi na kuanza kugawa kibano kwa wale wote aliowakuta pale hekaluni akavuruga biashara zao zote na wakapata hasara kubwa.

Mwaka wa 70 B.K Yesu akiwa Mbinguni aliona tena hali ile akaruhusu Jeshi kubwa la Mfalme Nero kutoka Rumi kuvamia Mji wa Yerusalemu na kuwapa kibano cha kutosha na kulitia moto lile Hekalu baada ya kupora kila kitu kilichohifadhiwa Hekaluni.
Walipora mpaka mawe na tails za dhahabu na lulu zilizokua zimenakshiwa kwa ustadi katika ujenzi wa lile Hekalu lililokua limejengwa kwa ustadi mkubwa sana.

Mahali popote panapokua na mikusanyika isiyo na ustarabu maalumu panajaa uovu.
Linakua ni eneo la washirikina kushindana kutupa uchawi wao . Vibaka wanajaa, wahuni wa kila aina. Watoto wa kike wanadhalilishwa ,matusi mengi na lugha chafu za kila aina, udanganyifu na utapeli wa watu kuuziwa vitu feki n.k.
Mungu wa Mbinguni Mwenye kumiliki kila kitu anaangalia kwa makini sana kila jambo linalofanyika duniani.
Kama kuna uovu unaofanyika kijumuiya na hakuna wa kulikemea basi huwa ni chukizo kubwa sana kwake.
Kikombe cha hasira yake kikijaa basi anamruhu Mwenye kuharibu afanye kazi yake. Utashanga sehemu majengo yanaporomoka na hakuna pa kukimbilia mana kila mahali njia hazipitiki. Utashanga unazuka moto wa mama ntilie mmoja mshirikina anawasha jiko linavamia eneo na kiwaka moto mji mzima wa Babiloni unawaka moto na hakuna a sehemu ya magari ya kuzima moto kupita. Linakua ni janga kubwa.

Binadamu tumepewa akili ya kupanga mambo yetu vizuri hata kwenye kutafuta riziki.
Ukiacha watu watalima mpaka kwenye vyanzo vya maji. Watakata miti kila mahali na kuacha jangwa. Watapanga mkaa mpaka kwenye mlango wa Jumba la Mfalme.
Watauza Kondom mpaka nje ya milango ya Nyumba za ibada.

Tupange miji yetu vizuri biashara zitafanyika tu alimradi ziwe ni halali na kodi halali na za haki.
Majengo ya serikali yasiwe na madalali kwa wafanyabiashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilirudi likizo nyumbani baada ya kuwa nje ya Dar kwa miaka 10. Niliacha Mbezi Beach kuko ushuani.

Kurudi, Mbezi Beach kuna vibanda vibanda kibao pembeni ya barabara, kushageuka uswazi fulani hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
For sure bro sahv hata huko masaki Napo Kuna wamachinga kibao pembezoni mwa barabara Yan kwa kifupi jiji Zima limekosa hadhi yake ... Sahv mbez beach hapatofautiani Sana na temeke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni aibu Kwa Kariakoo ndio hakufai hata sehemu ya kupita hamna
Jana nimeapa sitarudi na siendi kariakoo labda mpaka hii awamu ya wanyone ipite. Unyonge ukizidi sana huwa ni ujinga na upumbavu.
 
Nimenunua Jinsi Elfu kumi na mbili kwa machinga ndani inauzwa 18 sijui ndio nini, ila hamna namna uchumi mgumu.

Kinachokera ni kurundikana ovyo ovyo kila sehemu na kupika sehemu zisizorasmu
 
Back
Top Bottom