Ombi: Harakati za maandamano zisitishwe

Ombi: Harakati za maandamano zisitishwe

Hakuna kitu kinaniuma kama kuona watu mnawakataza nyumbu kuandamana, hawa nyumbu wahalifu wezi na waharibifu wa mali waacheni waandamane ili serekali ipate kibali cha kuwapeleka akhera kuwalealea wakaendelea kubaki hai huku hawana faida yoyote ni hasara kwa taifa.

Nyumbu tokeni msisikilize huu ushauri.
 
Nyumbu wapo msituni
 
We mpumbavu ujumbe umefika kwa kuuliwa ndugu zetu na unataka tunyamaze huku wakitukejeli na kuchukulia ni sawa walichokifanya?!!

Hao wauwaji wanaweza kujipeleka jela wenyewe? Unaijua haki tunayoitaka kwanza?
Huyu katumwa. Ujumbe umefikaje kama samuya bado hajaachia ngazi? Ujumbe umefikaje kama ndio kwanza utekaji unashamiri?
 
Weka madai yako 5 ambayo hayakuwahi kuwepo Kwa maraisi wote waliopita ila yamezuka kipindi cha Samia Ili tuone madai yako Yana misingi au umepandikizwa chuki za kijinga
Wewe ni takataka, kwamba kwa kuwa madai hayo hayakutatuliwa na watangulizi wa Samia, basi wananchi wakae kimya. Utakuwa na matope kichwani, elewa kuwa wakati, mazingira, na aina ya Watu hubadilika.

Hakuna matatizo yatakayo dumu milele, na sasa viongozi na watawala wajue kwamba muda wa mabadiliko ni sasa. Wasishupaze shingo, utekaji ukomeshwe, haki itamalaki , katiba na tume huru ya kweli uundwe ili kupata viongozi wanaowataka wananchi na hao wasimamie rasilimali zao kwa haki
 
Weka madai yako 5 ambayo hayakuwahi kuwepo Kwa maraisi wote waliopita ila yamezuka kipindi cha Samia Ili tuone madai yako Yana misingi au umepandikizwa chuki za kijinga
Weka matako yako hapa ukiwa umevaa bikini tuone kama hujapandikizwa umama.
 
Ombi langu kwa vijana ni kusitisha Harakati zote za maandamano.

Maandamano yalishafanyika tena Makubwa sana. Ujumbe ulishatumwa. Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wameshachoka na uhuni ulikuwa ukifanyika wa mazingaombwe ya kura, ufisadi, uminywaji wa haki, utekaji na mauaji.

Watawala wameshafahamu kuwa kile walichokuwa wakipigania Chadema ndiyo matakwa ya wananchi. Watawala wameshafahamu kuwa huwezi itisha uchaguzi ukaitenga Chadema.

Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wanaitaji katiba mpya na bora pamoja na tume huru ya kweli ya uchaguzi.

Watawala wameshafahamu kuwa hawana kibali cha wananchi katika utawala wao hawamu hii na ndiyo maana keta mbaya ya udini inaanza kutumika kugawa watanzania.

Uchumi wa nchi umeshaathirika sana, dola imepotea, mapato yanapungua, watalii hakuna hivyo watawala wapo katika wakati mgumu pia wa kitekeleza Yale waliyoyaahidi.

Sasa tuwape muda watekeleze madai ya wananchi badala ya kuendleeza maandamano.
Pumba tupu.
 
Kama ujumbe umefika wa watu kutekwa mbona wanaendelea kutekwa.?
Mbaya zaidi hakuna kauli yoyote.
Binafsi sitaki maandamano kama madai haya yatafanyiwa kazi
 
Ombi langu kwa vijana ni kusitisha Harakati zote za maandamano.

Maandamano yalishafanyika tena Makubwa sana. Ujumbe ulishatumwa. Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wameshachoka na uhuni ulikuwa ukifanyika wa mazingaombwe ya kura, ufisadi, uminywaji wa haki, utekaji na mauaji.

Watawala wameshafahamu kuwa kile walichokuwa wakipigania Chadema ndiyo matakwa ya wananchi. Watawala wameshafahamu kuwa huwezi itisha uchaguzi ukaitenga Chadema.

Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wanaitaji katiba mpya na bora pamoja na tume huru ya kweli ya uchaguzi.

Watawala wameshafahamu kuwa hawana kibali cha wananchi katika utawala wao hawamu hii na ndiyo maana keta mbaya ya udini inaanza kutumika kugawa watanzania.

Uchumi wa nchi umeshaathirika sana, dola imepotea, mapato yanapungua, watalii hakuna hivyo watawala wapo katika wakati mgumu pia wa kitekeleza Yale waliyoyaahidi.

Sasa tuwape muda watekeleze madai ya wananchi badala ya kuendleeza maandamano.
Mpaka watoke madarakani au waitishe uchaguzi mwingine
 
Kwa hiyo kama yalikuwepo kwa marais waliopita hatuna haki tena ya kuyadai?
Kama hayo madai yenu kumbe Samia aliyakuta basi naye pia ataondoka atayaacha

Subiri raisi ajaye lazima atakuwa kibaraka wa TEC na hayo madai yenu atayakuta tutakusaidieni kuandamana kumtoa madarakani
 
Ombi langu kwa vijana ni kusitisha Harakati zote za maandamano.

Maandamano yalishafanyika tena Makubwa sana. Ujumbe ulishatumwa. Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wameshachoka na uhuni ulikuwa ukifanyika wa mazingaombwe ya kura, ufisadi, uminywaji wa haki, utekaji na mauaji.

Watawala wameshafahamu kuwa kile walichokuwa wakipigania Chadema ndiyo matakwa ya wananchi. Watawala wameshafahamu kuwa huwezi itisha uchaguzi ukaitenga Chadema.

Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wanaitaji katiba mpya na bora pamoja na tume huru ya kweli ya uchaguzi.

Watawala wameshafahamu kuwa hawana kibali cha wananchi katika utawala wao hawamu hii na ndiyo maana keta mbaya ya udini inaanza kutumika kugawa watanzania.

Uchumi wa nchi umeshaathirika sana, dola imepotea, mapato yanapungua, watalii hakuna hivyo watawala wapo katika wakati mgumu pia wa kitekeleza Yale waliyoyaahidi.

Sasa tuwape muda watekeleze madai ya wananchi badala ya kuendleeza maandamano.
mie nawatakia R.I.P in advance magaidi na mamluki wote :NoGodNo:
 
Kama hayo madai yenu kumbe Samia aliyakuta basi naye pia ataondoka atayaacha

Subiri raisi ajaye lazima atakuwa kibaraka wa TEC na hayo madai yenu atayakuta tutakusaidieni kuandamana kumtoa madarakani
Tafadhari usiingize mjadala kwenye ishu ya udini wala siyo lengo ya post yangu. Siyo jdmbo jema kutengeneza mazingira ya kutofaitiana. Sijdona kosa la teki na Samia siyo Rais wa waislamu
 
Kama hayo madai yenu kumbe Samia aliyakuta basi naye pia ataondoka atayaacha

Subiri raisi ajaye lazima atakuwa kibaraka wa TEC na hayo madai yenu atayakuta tutakusaidieni kuandamana kumtoa madarakani
Kumbe huna akili eeh?
 
Back
Top Bottom