Ombi: Harakati za maandamano zisitishwe

Ombi: Harakati za maandamano zisitishwe

Wasomba

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2016
Posts
546
Reaction score
757
Ombi langu kwa vijana ni kusitisha harakati zote za maandamano.

Maandamano yalishafanyika tena makubwa sana. Ujumbe ulishatumwa. Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wameshachoka na uhuni uliokuwa ukifanyika wa mazingaombwe ya kura, ufisadi, uminywaji wa haki, utekaji na mauaji.

Watawala wameshafahamu kuwa kile walichokuwa wakipigania Chadema ndiyo matakwa ya wananchi. Watawala wameshafahamu kuwa huwezi itisha uchaguzi ukaitenga Chadema.

Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wanahitaji katiba mpya na bora pamoja na tume huru ya kweli ya uchaguzi.

Watawala wameshafahamu kuwa hawana kibali cha wananchi katika utawala wao hawamu hii na ndiyo maana kete mbaya ya udini inaanza kutumika kugawa watanzania.

Uchumi wa nchi umeshaathirika sana, dola imepotea, mapato yanapungua, watalii hakuna hivyo watawala wapo katika wakati mgumu pia wa kutekeleza yale waliyoyaahidi.

Sasa tuwape muda watekeleze madai ya wananchi badala ya kuendeleza harakati za maandamano, nchi ni yetu na tunapaswa kusonga mbtke kama taifa.
 
Pumbav!

Tutaendelea kuandamana hadi jini Samuya atoke kwenye chupa, akamatwe na anyongwe pale Kariakoo.

Hawezi kuuwa watanzania zaidi ya waliouwawa kwenye vita ya Kagera halafu tumchekee.

Pia, kamwe hatutasamehe askari mashoga waliouwa ndugu zetu.

Hii vita bado mbichi.
 
Ombi langu kwa vijana ni kusitisha Harakati zote za maandamano.

Maandamano yalishafanyika tena Makubwa sana. Ujumbe ulishatumwa. Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wameshachoka na uhuni ulikuwa ukifanyika wa mazingaombwe ya kura, ufisadi, uminywaji wa haki, utekaji na mauaji.

Watawala wameshafahamu kuwa kile walichokuwa wakipigania Chadema ndiyo matakwa ya wananchi. Watawala wameshafahamu kuwa huwezi itisha uchaguzi ukaitenga Chadema.

Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wanaitaji katiba mpya na bora pamoja na tume huru ya kweli ya uchaguzi.

Watawala wameshafahamu kuwa hawana kibali cha wananchi katika utawala wao hawamu hii na ndiyo maana keta mbaya ya udini inaanza kutumika kugawa watanzania.

Uchumi wa nchi umeshaathirika sana, dola imepotea, mapato yanapungua, watalii hakuna hivyo watawala wapo katika wakati mgumu pia wa kitekeleza Yale waliyoyaahidi.

Sasa tuwape muda watekeleze madai ya wananchi badala ya kuendleeza maandamano.
Matako yenu, fungulieni kwanza sauti huru za wananchi kama jamii forums ili haki ya upashanaji habari tuweze ifurahia.
 
Ombi langu kwa vijana ni kusitisha Harakati zote za maandamano.

Maandamano yalishafanyika tena Makubwa sana. Ujumbe ulishatumwa. Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wameshachoka na uhuni ulikuwa ukifanyika wa mazingaombwe ya kura, ufisadi, uminywaji wa haki, utekaji na mauaji.

Watawala wameshafahamu kuwa kile walichokuwa wakipigania Chadema ndiyo matakwa ya wananchi. Watawala wameshafahamu kuwa huwezi itisha uchaguzi ukaitenga Chadema.

Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wanaitaji katiba mpya na bora pamoja na tume huru ya kweli ya uchaguzi.

Watawala wameshafahamu kuwa hawana kibali cha wananchi katika utawala wao hawamu hii na ndiyo maana keta mbaya ya udini inaanza kutumika kugawa watanzania.

Uchumi wa nchi umeshaathirika sana, dola imepotea, mapato yanapungua, watalii hakuna hivyo watawala wapo katika wakati mgumu pia wa kitekeleza Yale waliyoyaahidi.

Sasa tuwape muda watekeleze madai ya wananchi badala ya kuendleeza maandamano.
ina maana Chura Kiziwi Amesikia na kuwa sasa Siyo Kiziwi tena?
 
Hakuna maandamano wewe, nkuambie mara ngapi?
 
Pumbav!

Tutaendelea kuandamana hadi jini Samuya atoke kwenye chupa, akamatwe na anyongwe pale Kariakoo.

Hawezi kuuwa watanzania zaidi ya waliouwawa kwenye vita ya Kagera halafu tumchekee.

Pia, kamwe hatutasamehe askari mashoga waliouwa ndugu zetu.

Hii vita bado mbichi.
Weka madai yako 5 ambayo hayakuwahi kuwepo Kwa maraisi wote waliopita ila yamezuka kipindi cha Samia Ili tuone madai yako Yana misingi au umepandikizwa chuki za kijinga
 
Pumbav!

Tutaendelea kuandamana hadi jini Samuya atoke kwenye chupa, akamatwe na anyongwe pale Kariakoo.

Hawezi kuuwa watanzania zaidi ya waliouwawa kwenye vita ya Kagera halafu tumchekee.

Pia, kamwe hatutasamehe askari mashoga waliouwa ndugu zetu.

Hii vita bado mbichi.
Sauti ambayo ilishasikika ni kubwa sana. Kishindo chake Bado. Naamini mabadiliko yatafanyoka kuzuia migogoro mwingine huko mbeleni. Kwa sasa tujenge nchi yetu
 
Unajua ni dharau sana kwa mwanaume kuchambwa huku umeshikiwa kiuno na kubenuliwa midomo.
Kishindo cha tarehe 29 October hakuna aliyekosa funzo. Tujenge nchi yetu. Heshima kwa mwananchi ilishatengenezwa. Tujenge nchi yetu
 
Ujumbe umeshatumwa lkn serikali haijajifunza bado kama ni utekaji ndio umeongezeka na unafanyika wazi kuwaambia wananchi kuwa mtafanya nini.
Hilo nalo ni tatizo Siwezi watetea katika hilo.
Hakuna maandamano wewe, nkuambie mara ngapi?
Nyinyi ndiyo mnaowapotosha watawala. Huwezi zuia maandamano kwa bunduki
 
Ombi langu kwa vijana ni kusitisha Harakati zote za maandamano.

Maandamano yalishafanyika tena Makubwa sana. Ujumbe ulishatumwa. Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wameshachoka na uhuni ulikuwa ukifanyika wa mazingaombwe ya kura, ufisadi, uminywaji wa haki, utekaji na mauaji.

Watawala wameshafahamu kuwa kile walichokuwa wakipigania Chadema ndiyo matakwa ya wananchi. Watawala wameshafahamu kuwa huwezi itisha uchaguzi ukaitenga Chadema.

Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wanaitaji katiba mpya na bora pamoja na tume huru ya kweli ya uchaguzi.

Watawala wameshafahamu kuwa hawana kibali cha wananchi katika utawala wao hawamu hii na ndiyo maana keta mbaya ya udini inaanza kutumika kugawa watanzania.

Uchumi wa nchi umeshaathirika sana, dola imepotea, mapato yanapungua, watalii hakuna hivyo watawala wapo katika wakati mgumu pia wa kitekeleza Yale waliyoyaahidi.

Sasa tuwape muda watekeleze madai ya wananchi badala ya kuendleeza maandamano.
Bado bado hawajaachia madaraka waliyoyapata kwa mtutu wa bunduki? Mbona bado wanateka watanzania wenzetu?
 
Ombi langu kwa vijana ni kusitisha Harakati zote za maandamano.

Maandamano yalishafanyika tena Makubwa sana. Ujumbe ulishatumwa. Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wameshachoka na uhuni ulikuwa ukifanyika wa mazingaombwe ya kura, ufisadi, uminywaji wa haki, utekaji na mauaji.

Watawala wameshafahamu kuwa kile walichokuwa wakipigania Chadema ndiyo matakwa ya wananchi. Watawala wameshafahamu kuwa huwezi itisha uchaguzi ukaitenga Chadema.

Watawala wameshafahamu kuwa wananchi wanaitaji katiba mpya na bora pamoja na tume huru ya kweli ya uchaguzi.

Watawala wameshafahamu kuwa hawana kibali cha wananchi katika utawala wao hawamu hii na ndiyo maana keta mbaya ya udini inaanza kutumika kugawa watanzania.

Uchumi wa nchi umeshaathirika sana, dola imepotea, mapato yanapungua, watalii hakuna hivyo watawala wapo katika wakati mgumu pia wa kitekeleza Yale waliyoyaahidi.

Sasa tuwape muda watekeleze madai ya wananchi badala ya kuendleeza maandamano.
Hakuna hiyo! Hawa watu ni vichwa ngumu. Waondokeeeee .....!!
 
Ujumbe umeshatumwa lkn serikali haijajifunza bado kama ni utekaji ndio umeongezeka na unafanyika wazi kuwaambia wananchi kuwa mtafanya nini.
Exactly.
Kwanini wasianze kukomesha utekaji mara moja?
Ili tuone ujumbe umefika na wameelewa hoja za waandamanaji.
Kinacho endelea Sasa kupimana ubavu? Lengo lenu tuone nani ana nguvu au mnauliza mtatufanya nini?
 
Back
Top Bottom