Ombi - Asasi za kiraia ( NGO'S ) jengeni shule kusaidia watoto wa kike wa Tanzania

Kwa nini chadema na Lowassa msijenge kwanza ili muweze kumkosoa vizuri Magufuli na hivyo kupata fursa ya kumletea mtikisiko mwaka 2020?
Nadhani hii ndiyo golden chance kwa chadema na Lowassa kumuonesha Magufuli wka vitendo kwamba mnaweza na hivyo kuwashawishi wapiga kura 2020.
Poor comment ever !
 
Acha kujitoa akili sio kola anaepinga mawazo ya rais ni cdm. Jaribu kujitegemea kimawazo kama umeshindwa soma tu sio lazima uandike
 
Hujui mleta mada alilelewaje na wazazi wake humu jamii forums kuna watu wamelelewa wengine hovyo tu. Hawajakulia mikononi mwa familia zenye maadili
Nimekuelewa mkuu,ndio maana inakuwa shida sana watu kumuelewa Rais.Yuko sahihi 100%.
 
Natuma ombi hili kwa Mashirika yote yasiyo ya kiserikali , ambayo mara zote yamekuwa mstari wa mbele kulinda utu wa mwanadamu na kutetea haki za mwanamke , Jengeni shule kwa ajili ya watoto wa kike ambao kwa bahati mbaya walipata mimba wakiwa shuleni lakini bado wanayo ndoto ya kusoma .

Serikali ya Tanzania kupitia Mh Rais imekwishaweka wazi msimamo wake juu ya watoto hawa , ambao ushahidi unaonyesha kwamba wengi wao hupata mimba kwa kubakwa ama kurubuniwa kwa vitu vidogo sana kama lift za magari na bodaboda , ama hata chips kavu kutokana na umri wao kuwa mdogo kiasi cha kushindwa kujitetea wanapobakwa au kushindwa kuchanganua pale wanaporubuniwa .

Ninao ushahidi wa mtoto wa Dada yangu , ambaye alipata ujauzito akiwa kidato cha kwanza na hivyo kufukuzwa shule , lakini alikuwa anataka kuendelea na masomo , ambapo ndugu tukamsaidia na akaja kufanya mtihani kama Private candidate , yaliyoendeleaa ni historia , lakini kwa ufupi niseme tu kwamba binti huyu kwa sasa ni msaada mkubwa sana kwa familia yake .

Hakuna haja ya kutia shaka , maana Mh Rais asichokitaka ni watoto hawa kusoma kwenye shule zake tu , kwahiyo tukijenga shule zingine NECTA watatoa ushirikiano kama watoavyo kwenye shule zingine .

Kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa , tuwape nafasi nyingine mabinti zetu .

Natanguliza shukrani .
Ni wazo zuri, make cyo kwamba kubeba mimba ndo iwe mwisho wa elimu na wengine wanazipata kwa kubakwa..
 
Mleta mada kwa hili nakuunga mkono...bila ivyo walionewa kwa kubebeshwa mimba watafanyaje...mf mtu kabakwa.
 
Hili wazo ungempa mbowe na saccos yake watende hayo maana hata ruzuku zinakotumika haijulikani!
 
Hili swala ni gumu na linasumbua dada zetu, kwa kawaida watoto wa kike walio wengi hupata mimba wakiwa kati ya umri wa miaka 17+ ,miaka 15 au 16 ni mara chache kuwa na mimba, hivyo serikali itazame upya umri wa watoto kuanza shule ya msingi ,iwe ni miaka 4, ambapo atamaliza shule ya msingi akiwa na umri wa miaka 11, secondary atamaliza akiwa na miaka 15,high school 17, hivyo kuanza university akiwa na miaka 18. Hapo utaona kuwa motto huyu uhakika wa kumaliza primary +secondary (o-level) ni 98%, uhakika wa kumaliza high school ni 90% ( maana hapa atakuwa na miaka 17) majority wanakuwa bado hawaba mambo mengi.

Pili, kuna haja kubwa ya kupunguza madarasa na kuoanisha masomo katika elimu ya shule ya msingi, tupunguze yawe mwisho ni darasa la sita (6), katika kuoanisha masomo binafsi sioni umuhimu wa kuwa na madarasa mengi yenye masomo yale yale, mfano masomo ya darasa la tatu/nne tunaweza yaweka kuwa ya darasa moja tu, au darasa la kwanza na la pili ni gale gale, tukifanya hivyo, maana yake motto aliyeanza shule akiwa na miaka 4, atamaliza shule ya msingi akiwa na miaka 10, secondary ( o-level) 14, high school, 16, university anaanza akiwa na miaka 17, hii system imetumika sana Asia china, Japan, Korea, na wamefaulu sana, ni kama ndoto kuona shule ya msingi au secondary kuna watoto wa kike wana mimba. Na kama uko Asia mfano china katika elimu ya juu ( university) utagundua matoto mengi ya mwaka wa kwanza huwa yana umri wa miaka 17,18, yaani hata ukiliambia I love u halijui unasema nin, mengi hayajui yapo kama robots tu, so kwa Africa kwa kuwa dada zetu wanakuwa haraka na wana maumbo makubwa basi tucheze na muda wa kuanza shule na kupunguza madarasa shule ya msingi. Hapo 98% ya watoto wa kike watamaliza masomo bila shida.
 
Nitajie faida 2 tu ulizopata tangu uanze hiyo roho mbaya .
Hivi ni nani mwenye roho mbaya,mimi ninayetetea maadili ya Watanzania yasiharibike au wewe unayetumia nguvu zako zote kuhakikisha kwamba maadili ya Watanzania yanaharibika.Very draconian behaviour indeed.
 
From bad to worse,kutoa mimba tena!Binti akishapata mimba akubali consequences za umalaya wake.Na kosa la kupachika mimba lina adhabu yake kisheria,why should we beat around the bush.It is thirty years if confirmed by a court of law.

Halafu hili swala la oh,....

Ndio maana imepropose itungwe sheria tuwauwe wanaume wote wanaowapa mimba wanafunzi.

Yaani ijulikane wazi ukimpa mimba under 18 au mwanafunzi) ni kifo na kuwa na uhusiano na mwanafunzi wa kimapemzi ni sawa na kuvaa bomu.

nimeshakuambia kwa sasa kuna DNA ambyo haitaacha chembe ya wasiwasi wasi wakati wa kutoa hukumu.

Ndugu Inaonekana kama unatetea hawa maFATAKI.

Tatizo langu walio wengi uwezo wao wa kuchambua mambo ni mdogo. anaweza kuwekwa mtegoni na kitu kidogo na cha kijinga kabisa.

Pia hata Runinga zetu mambo yanayo ruhusiwa kuonyeshwa humo mengi yanakinzana na huu msimamo.
 
Hatujaona tatizo, ukipata mimba lazima uache shule au ufukuzwe, utajiendeleze ki private au biashara au kilimo, its so simple..Mhusika wa mimba taarifa ikitolewa lazima apate adhabu, ikikaa hivi ndio poa, hata wazazi nyumbani tutasikilizwa, kuwa rudi kabla ya saa 12 jioni, usipende toka usiku usiku, acha mahusiano na wavulana ukiwa wasoma n.k. Twawajuwa watoto wa kike wanavyokaidi majumbani, hii safi kabisa..
 
Natuma ombi hili kwa Mashirika yote yasiyo ya kiserikali , ambayo mara zote yamekuwa mstari wa mbele kulinda utu wa mwanadamu na kutetea haki za mwanamke , Jengeni shule kwa ajili ya watoto wa kike ambao kwa bahati mbaya walipata mimba wakiwa shuleni lakini bado wanayo ndoto ya kusoma .

Serikali ya Tanzania kupitia Mh Rais imekwishaweka wazi msimamo wake juu ya watoto hawa , ambao ushahidi unaonyesha kwamba wengi wao hupata mimba kwa kubakwa ama kurubuniwa kwa vitu vidogo sana kama lift za magari na bodaboda , ama hata chips kavu kutokana na umri wao kuwa mdogo kiasi cha kushindwa kujitetea wanapobakwa au kushindwa kuchanganua pale wanaporubuniwa .

Ninao ushahidi wa mtoto wa Dada yangu , ambaye alipata ujauzito akiwa kidato cha kwanza na hivyo kufukuzwa shule , lakini alikuwa anataka kuendelea na masomo , ambapo ndugu tukamsaidia na akaja kufanya mtihani kama Private candidate , yaliyoendeleaa ni historia , lakini kwa ufupi niseme tu kwamba binti huyu kwa sasa ni msaada mkubwa sana kwa familia yake .

Hakuna haja ya kutia shaka , maana Mh Rais asichokitaka ni watoto hawa kusoma kwenye shule zake tu , kwahiyo tukijenga shule zingine NECTA watatoa ushirikiano kama watoavyo kwenye shule zingine .

Kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa , tuwape nafasi nyingine mabinti zetu .

Natanguliza shukrani .

Tunataka kupunguza mimba kwa wanafunzi wetu mashuleni na sio kuwajengea kichaka cha kuongeza mimba mashuleni. Hizo shule Mheshimiwa Rais itabidi azifunge pia.
 
Ndio maana imepropose itungwe sheria tuwauwe wanaume wote wanaowapa mimba wanafunzi.

Yaani ijulikane wazi ukimpa mimba under 18 au mwanafunzi) ni kifo na kuwa na uhusiano na mwanafunzi wa kimapemzi ni sawa na kuvaa bomu.

nimeshakuambia kwa sasa kuna DNA ambyo haitaacha chembe ya wasiwasi wasi wakati wa kutoa hukumu.

Ndugu Inaonekana kama unatetea hawa maFATAKI.

Tatizo langu walio wengi uwezo wao wa kuchambua mambo ni mdogo. anaweza kuwekwa mtegoni na kitu kidogo na cha kijinga kabisa.

Pia hata Runinga zetu mambo yanayo ruhusiwa kuonyeshwa humo mengi yanakinzana na huu msimamo.
Nani anayetetea mafataki sasa mimi au wewe.Wewe ndiye unayetaka kuwafichia siri kwa ku-down play uovu wao. Signal unayopeleka kwao mkuu ni kwamba there is no serious consequence to the life of the girl even if you make her pregnant,so you can go ahead.Afterall, she will continue with her studies. Mkuu wewe vipi,can't you see this?

Mkuu laiti ungejua hii strategy ya kutu convince watoto wanaopata mimba waendelee na masomo chanzo chake ni nini na ina maana gani,wala usingeishabikia.These fellows through NGOs want to make our society morally corrupt,so that they can continue looting our resources.Unajua,it's easy to manipulate a morally corrupt person than a morally sound man.Work up fellow countrymen. Mbona mmelala sana?
 
Tunataka kupunguza mimba kwa wanafunzi wetu mashuleni na sio kuwajengea kichaka cha kuongeza mimba mashuleni. Hizo shule Mheshimiwa Rais itabidi azifunge pia.
Sawa kabisa, wanaobisha waangalie mitandaoni watoto wa kike walivyo viherehere, nimewauliza hata jamaa ulaya, wanasema ni hivi hivi, hakuna msichana aliye sekondari ya kuishia form4 au six aliyepata mimba akazaa halafu karudi shule, sielewi tunashangaa nini! Akipata mimba kaa pembeni, zaa ukitaka warudi kufanya hiyo mitihani kivyako...
 
Natuma ombi hili kwa Mashirika yote yasiyo ya kiserikali , ambayo mara zote yamekuwa mstari wa mbele kulinda utu wa mwanadamu na kutetea haki za mwanamke , Jengeni shule kwa ajili ya watoto wa kike ambao kwa bahati mbaya walipata mimba wakiwa shuleni lakini bado wanayo ndoto ya kusoma .

Serikali ya Tanzania kupitia Mh Rais imekwishaweka wazi msimamo wake juu ya watoto hawa , ambao ushahidi unaonyesha kwamba wengi wao hupata mimba kwa kubakwa ama kurubuniwa kwa vitu vidogo sana kama lift za magari na bodaboda , ama hata chips kavu kutokana na umri wao kuwa mdogo kiasi cha kushindwa kujitetea wanapobakwa au kushindwa kuchanganua pale wanaporubuniwa .

Ninao ushahidi wa mtoto wa Dada yangu , ambaye alipata ujauzito akiwa kidato cha kwanza na hivyo kufukuzwa shule , lakini alikuwa anataka kuendelea na masomo , ambapo ndugu tukamsaidia na akaja kufanya mtihani kama Private candidate , yaliyoendeleaa ni historia , lakini kwa ufupi niseme tu kwamba binti huyu kwa sasa ni msaada mkubwa sana kwa familia yake .

Hakuna haja ya kutia shaka , maana Mh Rais asichokitaka ni watoto hawa kusoma kwenye shule zake tu , kwahiyo tukijenga shule zingine NECTA watatoa ushirikiano kama watoavyo kwenye shule zingine .

Kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa , tuwape nafasi nyingine mabinti zetu .

Natanguliza shukrani .

Jitahidini kulea watoto kwenye maadili mema na nyie vijana acheni tabia ya kutafuta mteremko kwa kutongoza wanafunzi ..Sio mfanye ujinga ujinga alafu uje kumlamu rais.
 
Ndio maana imepropose itungwe sheria tuwauwe wanaume wote wanaowapa mimba wanafunzi..
Hata hii sawa, fikiria machangu wote wale mitaani, kwenye bars n.k. wewe sababu una ka bodaboda, kabajaj au ka vitz na vihela mbuzi basi wafanya fujo zako bila kujali, hakuna hiyo, nyege zipeleke kwa wahusika, watoto wa kike waache wasome..
 
Nina imani katazo lake linahusu shule za serikali, ila za binafsi watawachukua.
 
Back
Top Bottom