Mh. Dr. Adolf Mkenda, hakikisha watoto wote wanaingia shule.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,659
20,995
Katika pita pita zangu huku na kule nimeshuhudia baadhi ya wazazi wakilalama hasa kuhusiana na vitu vidogo vidogo ambavyo vyengine vinahusiana na uwezo wa mzazi na vingine na vyeti vya kuzaliwa wengine wanakosa fedha ambazo mzazi hutakiwa kulipia hapa kuna viwango tofauti zipo shule hutoza 26000 zingine 36000, na zingine 48,000 no matter what,
Ombi kwa mh, Waziri ahakikishe watoto wote wanaingia shuleni huku mapungufu madogo madogo ya wazazi yakiendelea kutatuliwa taratibu ili watoto wa kitanzania wasije kosa elimu ya LAZIMA ya msingi kwa visingizio vidogo vidogo.
"ELIMU YA MSINGI NI HAKI YA LAZIMA KWA KILA MTOTO WA KITANZANIA"
 
Prof. Mkenda yupo vizuri...anajali na atakusikia

Tuombe Mungu asimezwe na Siasa nayeye kama Maprofesa wengine
 
Back
Top Bottom