Ombi - Asasi za kiraia ( NGO'S ) jengeni shule kusaidia watoto wa kike wa Tanzania

Jitahidini kulea watoto kwenye maadili mema na nyie vijana acheni tabia ya kutafuta mteremko kwa kutongoza wanafunzi ..Sio mfanye ujinga ujinga alafu uje kumlamu rais.
Unajua kwanini wagonjwa wa UKIMWI wanapewa ARV bure ? Na umewahi kusikia VIONGOZI WA TANZANIA WAKIGOMEA KUWAPA BURE ARV WATANZANIA WENYE UKIMWI ( maana ni ugonjwa unaopatikana 98% kwa ngono za kizembe ) , unajua kisa cha viongozi wako kujikausha katika hili ?
 
Yaani unalinganisha suala ukimwi na kupata mimba kwa watoto wa shule. Wewe kama unaona hakuna shida kwa wanagunzi kuzaa wakiwa shuleni, zaa wa kwako halafu umfundishe kufanya ngono akiwa bado shule. Hawa wa wenzako waache tuwaambie kuwa waache ngono wakiwa bado shule na wakikaidi kuna consequences.
 
NGO nyingi za kizungu wewe huzielewi zikitaka kupiga hela kwa donors nchini kwao hutunga project fake Ili Wafadhili wamwage pesa kwa kisingizio cha kuhudumia wagonjwa wa ukimwi . Waweza peleka taarifa kwao kuwa nusu ya watanzania wana ukimwi kwa utafiti waliofanya hivyo nchi iko hatarini Na hili la mimba wanataka kuibia donors wao ndio wanawatuma vibaraka wao Kama wewe upige debe kujustfy wao wawalagai donors wao. Uwe mzalendo please
 
Hivi kuna Nchi yoyote wana sheria ambayo inaruhusu mwanafunzi aliyejifungua kubreak masomo kwa Government schools na kwenda kunyonyesha then kurudi shule?

Kwa upande mwingine - kama tungekuwa na open policy ya kuwaruhusuu "wanafunzi-wazazi" walio tayari kurudi masomoni kwa hiari yao wenyewe baada ya miaka miwili ya kunyonyesha, yale yote anayoyahofia JPM hayawezi kutokea. Suprisingly unaweza kukuta ni mmoja out of 20.
 
Kwenye nchi zilizoendelea, mimba mashuleni ni nadra sana kiasi kwamba siyo suala linalohitaji mtazamo wa kisera. Hata hapa tz hili suala hali affect jamii zote kwa usawa unaofanana. Kumbuka alichosema Nchemba bungeni juzi. Ukweli ni kwamba hili tamko halitadhuru jamii "zilizostaarabika" kama litavyodhuru jamii zetu zingine zilizo pembezoni. Kazi kwetu.
 
Ngo za kizungu wewe huzielewi zikitaka kupiga hela kwa donors nchini kwao hutunga project fake Ili Wafadhili wamwage pesa kwa kisingizio cha kuhudumia wagonjwa wa ukimwi . Waweza peleka taarifa kwao kuwa nusu ya watanzania wana ukimwi kwa utafiti waliofanya hivyo nchi iko hatarini Na hili la mimba wanataka kuibia donors wao ndio wanawatuma vibaraka wao Kama wewe upige debe kujustfy wao wawalagai donors wao. Uwe mzalendo please
Hujajibu swali langu .
 
Kwenye nchi zilizoendelea, mimba mashuleni ni nadra sana kiasi kwamba siyo suala linalohitaji mtazamo wa kisera. Hata hapa tz hili suala hali affect jamii zote kwa usawa unaofanana. Kumbuka alichosema Nchemba bungeni juzi. Ukweli ni kwamba hili tamko halitadhuru jamii "zilizostaarabika" kama litavyodhuru jamii zetu zingine zilizo pembezoni. Kazi kwetu.
Ubarikiwe .
 
Yaani unalinganisha suala ukimwi na kupata mimba kwa watoto wa shule. Wewe kama unaona hakuna shida kwa wanagunzi kuzaa wakiwa shuleni, zaa wa kwako halafu umfundishe kufanya ngono akiwa bado shule. Hawa wa wenzako waache tuwaambie kuwa waache ngono wakiwa bado shule na wakikaidi kuna consequences.
Umeandika kwa kiwango cha chini sana !
 
Hujajibu swali langu .
Wanatoa Arv bure Na kuipa serikali bajeti itoe arv bure wakipata pesa kwa donors wao kwenye nchi zao. Ukitaka kufumua kashfa kubwa Ya kimataifa uliza swali donors walitoa ARV kiasi na kwa nani Tanzania na ripoti walizotoa kwa donors wao zinazoonyesha walitoa ARV ngapi direct au kwa kuipa serikali msaada wewe unapigia debe hizi NGO za wazungu wapate project idea fake waiandikie proposal wakawaibie wazungu wenzao
 
Unaonaje kama serikali ya Tanzania ikiachana na matumizi ya ARV kwa raia wake ili kuwakomesha waache ngono za kizembe ?
 
Back
Top Bottom