Ombi: 2020 Paul Makonda tunaomba ugombea ubunge jijini Dar es salaam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ombi: 2020 Paul Makonda tunaomba ugombea ubunge jijini Dar es salaam

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Daniel Agger, Sep 6, 2017.

 1. Daniel Agger

  Daniel Agger JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2017
  Joined: Aug 29, 2013
  Messages: 2,902
  Likes Received: 2,938
  Trophy Points: 280
  Wakuu

  Nachelea kusema kwa sasa mh Paul Makonda hana mpinzani kwa jiji zima kufuatia vita aliyopigana nayo na kuishinda

  Ni wazi RC huyu wa Dar anauwezo mkubwa kiutawala na mbunifu katika kutuletea wananchi maendeleo

  Ushauri, Paul Makonda kwa haya unayotufanyia wanaDar es salaam hakika unafaa sana kuwa mbunge wa moja ya majimbo ya jiji hili
  Haikuhitaji wewe urudi huko Koromije ukaanze kupambana na akina Gwajima wakati unaweza na wananchi tunakupenda tunakuhitaji pia

  Kwa kuanzia tu, (majimbo yote unafaa) lakini zaidi ni vema ukatuondolea huyu Halima Mdee huku Kawe maana tumemchoka na siasa zake za kitoto zisizotupa maendeleo yoyote hadi sasa hatuwakilishi bungeni akitumikia yake.

  Karibu sana mh Paul Makonda, jimbo la kawe linakuhitaji!
   
 2. darcity

  darcity JF-Expert Member

  #2
  Sep 6, 2017
  Joined: Jul 20, 2009
  Messages: 3,901
  Likes Received: 5,371
  Trophy Points: 280
  Atagombea kwa jina gani Bashite au Christian? Maana uliza kilichomkuta Kihiyo jimbo la Temeke. Unfortunately maisha yake ya kisiasa ni mafupi mno mtu pekee anayehifadhi uhalifu wake wa kutumia vyeti na jina lisilo lake ni JPM
   
 3. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2017
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,550
  Likes Received: 1,106
  Trophy Points: 280
  Hiyo mechi wanaDSM wanaitaka kesho mbali na Halima anaweza jivunja uchaguzi urudiwe. DAB hata akiingia mbagala u Diwani hapati na kampeni manager wake awe mjomba ake, atoboi.

   
 4. Beira Boy

  Beira Boy JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2017
  Joined: Aug 7, 2016
  Messages: 12,462
  Likes Received: 11,693
  Trophy Points: 280
 5. richaabra

  richaabra JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2017
  Joined: Jul 12, 2016
  Messages: 1,319
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  DAD anatakiwa abadilike vinginevyo atakuja kupata shida sana huko mbele kwani huwezi jua baba mwenye nyumba wa kesho ni nani  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 6. n

  nderingosha JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2017
  Joined: Mar 20, 2011
  Messages: 3,945
  Likes Received: 1,693
  Trophy Points: 280
  ..bashite anahaha kuuza sura ili siku moja agombee ubunge Dar...na akipata agombee umeya...maana nafasi za kupewa kana RC ama DC hazina guarantee...haswa kwa mtu mwenye vyeti feki...
   
 7. Maserati

  Maserati JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2017
  Joined: Jun 15, 2014
  Messages: 11,387
  Likes Received: 18,472
  Trophy Points: 280
  Ameshinda vita gani??
  Unavyompenda wewe sio sawa na wengine. Muulize IDD Azan
   
 8. richaabra

  richaabra JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2017
  Joined: Jul 12, 2016
  Messages: 1,319
  Likes Received: 2,872
  Trophy Points: 280
  Huo ubunge sio kwa jimbo la ubungo my kaka.. ubungo kuna watu wenye akili na wasomi na ukichanganya na hasira za ile bomoa bomoa ccm hapo hawawezi kumpata mtu

  Ubungo oyeeee
   
 9. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2017
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,493
  Likes Received: 5,285
  Trophy Points: 280
  Ungemshauri agombee kabisa urais 2020! Na kukuweka sawa tu hakuana jimbo linaloitwa Jiji la Da es Salaam ungekuwa mo specifiki kumwelekeza jimbo la kugombea! Na mwisho nikuulize ikiwa mbeleko ya baba yake ikiondolewa unadhani u celebrity wa ndugu huyu utaonekana tena?
   
 10. Daniel Agger

  Daniel Agger JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2017
  Joined: Aug 29, 2013
  Messages: 2,902
  Likes Received: 2,938
  Trophy Points: 280
  Hujielewi!

  Jiji la Dar linamajimbo mengi, usipende kukurupuka kukoment kabla ujasoma uzi husika
   
 11. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2017
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,493
  Likes Received: 5,285
  Trophy Points: 280
  Anayekurupuka nani kama siyo wewe, wewe kwa akili zako zote kilichokutia hamasa ni haya matukio ya huyu bwana kuropoka ropoka kwa kuwa aliyemteua hasemi chochote?

  Kama una mapenzi naye mshauri akagombee uongozi wa nyumba kumi na ya kwenu ikiwemo ila kiuhalisia ukiacha nafasi za kupewa za kuchaguliwa azisikie tu maana hata kwenye level ya familia si ndugu wote wangempigia kura!
   
 12. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #12
  Sep 7, 2017
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 35,889
  Likes Received: 6,782
  Trophy Points: 280
  Hapo unaaribu mkuu naamini mh anakubaliana na mm..Mh makonda ana safari ndefu kulisafisha jiji kuanzia hizi halmashauri na matenda yao machafu na mengineyo

  Sijui kama umeona.Lami.Zinazowekwa hivi sasa njia za sinza na pale makumbusho kituoni yale Makampuni yao ya upigaji hayapo na yaliobaki yako na usimamizi mkubwa tu ukiaribu imekula kwako jaya tugepata wapi kama.Sio RC kusimamia mkuu

  Ni imani yangu mh atabaki ndani ya miaka mitano tena dsm iishi kwa heshima..Ana mengi ya kubadilisha mkuu na wito wake kama umemsikia kuitumkkia watu wa dsm kwanza.. Ukimpa Ubungo ama Kinondoni inamlimit na wakigamboni wataendelea kumiss huduma zake naamini Mungu amempangia zaidi ya ubunge. Acha atunyooshe kwanza dsm tubadilike.

  Mungu ibariki Tanzania wabariki na viongozi wake

  Amen
   
 13. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #13
  Sep 7, 2017
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 5,038
  Likes Received: 1,478
  Trophy Points: 280
  Bashite yuko busy kutafuta uwaziri mkuu na kugombea huko mbele urais, we unamkaribisha ubunge
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Sep 7, 2017
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 35,889
  Likes Received: 6,782
  Trophy Points: 280
  Mkuu kwenye sifa mpesifa zake sisi wakristo tunaambiwa jali mema zaidi kuliko mabaya

  Mh akiutaka huo uwaziri hata kesho anakuaa

  Tusaidie analijengaje jiji la Dar kuwa ktk ubora nikimaanisha barabara nk..Tusikimbilie udhaifu hakuna alieperfect hanijui mh nafurahi kila akionhea anasema hili hakuna aliesawa sawia tunaishi kwa rehema ...

  Maombi yangu tuungane na mh RC na wengineo waliojitoa kwa ajili ya maendeleo ya wananchi na watu wake hatakama hitolipwa duniani na mungu kizazi chako.Kitaishi kama mfalme kwa yale uliowatendea usiowajua
   
 15. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #15
  Sep 7, 2017
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 5,038
  Likes Received: 1,478
  Trophy Points: 280
  umejitahidi kuandika pdidy hongera. Sijakataa anafanya makubwa nimeshangaa mtoa mada kumkaribisha ubunge wakati DAB anaona mbali
   
 16. titimunda

  titimunda JF-Expert Member

  #16
  Sep 7, 2017
  Joined: Nov 26, 2014
  Messages: 5,350
  Likes Received: 5,806
  Trophy Points: 280
  Hata akigombea udiwani kata iliochwa wazi na Manji hashindi
   
 17. Twamo

  Twamo JF-Expert Member

  #17
  Sep 7, 2017
  Joined: May 27, 2017
  Messages: 570
  Likes Received: 773
  Trophy Points: 180
  Kawe haiwezi ongozwa na Bashite kamwe! Kama anauwezo aende huko Dodoma ambako umasikini umetamalaki mpaka kuna wakati wanakula wadudu!

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 18. ArIeN

  ArIeN JF-Expert Member

  #18
  Sep 7, 2017
  Joined: Aug 29, 2017
  Messages: 5,034
  Likes Received: 3,288
  Trophy Points: 280
  aisee!

  ila una haki ya kutoa maoni yako
   
 19. n

  nguvu JF-Expert Member

  #19
  Sep 7, 2017
  Joined: Jun 13, 2013
  Messages: 4,997
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  Ubungo sio pa kugusa hawapendi.kijani sana, kule shida yao ni kuongozwa na kijani so hawako tayari kupatwa na hiyo shida.
   
 20. n

  nguvu JF-Expert Member

  #20
  Sep 7, 2017
  Joined: Jun 13, 2013
  Messages: 4,997
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  Hawezi kuwa PM bila kuwa mbunge
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...