Ombi: 2020 Paul Makonda tunaomba ugombea ubunge jijini Dar es salaam | Page 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ombi: 2020 Paul Makonda tunaomba ugombea ubunge jijini Dar es salaam

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Daniel Agger, Sep 6, 2017.

 1. Daniel Agger

  Daniel Agger JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2017
  Joined: Aug 29, 2013
  Messages: 2,902
  Likes Received: 2,938
  Trophy Points: 280
  Wakuu

  Nachelea kusema kwa sasa mh Paul Makonda hana mpinzani kwa jiji zima kufuatia vita aliyopigana nayo na kuishinda

  Ni wazi RC huyu wa Dar anauwezo mkubwa kiutawala na mbunifu katika kutuletea wananchi maendeleo

  Ushauri, Paul Makonda kwa haya unayotufanyia wanaDar es salaam hakika unafaa sana kuwa mbunge wa moja ya majimbo ya jiji hili
  Haikuhitaji wewe urudi huko Koromije ukaanze kupambana na akina Gwajima wakati unaweza na wananchi tunakupenda tunakuhitaji pia

  Kwa kuanzia tu, (majimbo yote unafaa) lakini zaidi ni vema ukatuondolea huyu Halima Mdee huku Kawe maana tumemchoka na siasa zake za kitoto zisizotupa maendeleo yoyote hadi sasa hatuwakilishi bungeni akitumikia yake.

  Karibu sana mh Paul Makonda, jimbo la kawe linakuhitaji!
   
 2. naumbu

  naumbu JF-Expert Member

  #21
  Sep 7, 2017
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 3,593
  Likes Received: 4,345
  Trophy Points: 280
  Dar es Salaam umefika lini? Unamponza
   
 3. Ki Mun

  Ki Mun JF-Expert Member

  #22
  Sep 7, 2017
  Joined: Oct 6, 2014
  Messages: 3,453
  Likes Received: 3,999
  Trophy Points: 280
  Tunamsubiri kwa hamu ili tumdai vyeti; lakini hivi jimbo gani Dsm linahitaji mbunge mwenye mdomo uliojaa mate na ulimi mkubwa kilo 10???
   
 4. sab

  sab JF-Expert Member

  #23
  Sep 7, 2017
  Joined: Jan 25, 2013
  Messages: 4,052
  Likes Received: 2,583
  Trophy Points: 280
  Duuh
   
 5. Beef Lasagna

  Beef Lasagna JF-Expert Member

  #24
  Sep 7, 2017
  Joined: Mar 30, 2015
  Messages: 10,013
  Likes Received: 38,978
  Trophy Points: 280
  Itakuwa vizur agombee atajua anakubalika kias gani.
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #25
  Sep 7, 2017
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 26,605
  Likes Received: 4,743
  Trophy Points: 280
  Dar Hawezi Kushinda hata mara moja labda KOROMIJE.
   
 7. Prince Kunta

  Prince Kunta JF-Expert Member

  #26
  Sep 7, 2017
  Joined: Mar 27, 2014
  Messages: 8,954
  Likes Received: 7,139
  Trophy Points: 280
  Sasa si bora awe mkuu wa mkoa ili asaidie mkoa mzima kuliko kuwa mbunge ambae katika maendeleo atakuwa ana shughulika na jimbo lake tu

  Kama ndo hivyo basi agombee uraisi wa jamhuri kabisa 2020
   
 8. Geechie

  Geechie JF-Expert Member

  #27
  Sep 7, 2017
  Joined: Oct 26, 2015
  Messages: 899
  Likes Received: 657
  Trophy Points: 180
 9. Tetty

  Tetty JF-Expert Member

  #28
  Sep 7, 2017
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 26,400
  Likes Received: 17,584
  Trophy Points: 280
  Sema Umemchoka Halima sisi hatujamchomchoka Halima,na Halima hapokei kodi yako wanaopokea kodi yako na kuikwapua ni hao hao unaowasifia.

  Peleka huu ujinga Lumumba ili ulipwe
   
 10. kadagala1

  kadagala1 JF-Expert Member

  #29
  Sep 7, 2017
  Joined: Nov 23, 2016
  Messages: 5,238
  Likes Received: 4,726
  Trophy Points: 280
 11. Cannabis

  Cannabis JF-Expert Member

  #30
  Sep 7, 2017
  Joined: Jan 20, 2014
  Messages: 1,004
  Likes Received: 2,042
  Trophy Points: 280
  Bora akagombee Urais hapo jirani nchini Kenya, ana nafasi kubwa ya kushinda Urais Kenya kuliko kupata jimbo lolote lililopo huko Dar es salaam
   
 12. baruti 1

  baruti 1 JF-Expert Member

  #31
  Sep 7, 2017
  Joined: Apr 4, 2017
  Messages: 607
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 180
  ana uwezo wa kuthubutu ,dogo anapiga mzigo baraa kwa muda mfupi kafanya maajabu mengi sana kama kumaliza tatizo la madawati,kuzzuia bomoabomoa ,kuhamasisha kuliboresha jeshi la polisi mkoani kwake, computer katika idara za ardhi na jeshi la polisi, hospitali ya mama na watoto,
   
 13. bigmind

  bigmind JF-Expert Member

  #32
  Sep 7, 2017
  Joined: Oct 28, 2015
  Messages: 7,725
  Likes Received: 6,924
  Trophy Points: 280
  Wewe kweli humpendi dr. Bashi..! Yaani anaweza kupambana na sauti kukoloma..
   
 14. nkulikwa

  nkulikwa JF-Expert Member

  #33
  Sep 7, 2017
  Joined: Jul 21, 2015
  Messages: 723
  Likes Received: 793
  Trophy Points: 180
  Hadi bashite anaonwa kama mtu anayefanya ya Maana taifa hili linahitaji sana kujenga msingi wa akili!!
   
 15. kilokiki

  kilokiki JF-Expert Member

  #34
  Sep 7, 2017
  Joined: May 3, 2016
  Messages: 1,176
  Likes Received: 2,205
  Trophy Points: 280
  Huyo jamaa saizi yake ni roma mkatoliki
  Nashauri uyo jamaa akitia pua jimbo lolote apelekewe roma

  Tena ushindi utakua mapema
   
 16. Godee jr

  Godee jr JF-Expert Member

  #35
  Sep 7, 2017
  Joined: Apr 17, 2012
  Messages: 1,055
  Likes Received: 893
  Trophy Points: 280
  Yaani akigombe, akaiba kura alafu akashinda atajuta kuzaliwa. Tutamuandamana mpaka atoe vyeti vyake. Hatutaki ujinga kabisa sisi

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 17. mtanganyika wa kweli

  mtanganyika wa kweli JF-Expert Member

  #36
  Sep 7, 2017
  Joined: Apr 12, 2015
  Messages: 2,125
  Likes Received: 1,262
  Trophy Points: 280
  bt inaongozwa na mtu ambaye sio msomi"kubenea"
   
 18. Black fire

  Black fire JF-Expert Member

  #37
  Sep 7, 2017
  Joined: Oct 8, 2014
  Messages: 742
  Likes Received: 1,128
  Trophy Points: 180
  Naona kaanza kuwatuma ili mtingishe kiberiti.

  Mwambie awahi kabla ya mbeleko ya baba yake haijakatika. Sion mtu.mwngne wa kumbeba huyu jamaa zaidi ya Sizonje na siku Sizonje akitoka magogoni jua habari yake itakuwa imeishia hapo

  Sent using Jamii Forums mobile app
   
 19. king mswaty

  king mswaty JF-Expert Member

  #38
  Sep 7, 2017
  Joined: Aug 6, 2014
  Messages: 281
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
 20. K

  Kimarondo JF-Expert Member

  #39
  Sep 7, 2017
  Joined: Sep 3, 2017
  Messages: 259
  Likes Received: 214
  Trophy Points: 60
  Yawezekana mwanzisha uzi ndo hujielewi huyo bwana Bashite keshapata vyeti halali au mwatufanya mazuzu?
   
 21. DICKSON ZAKWA

  DICKSON ZAKWA Member

  #40
  Sep 7, 2017
  Joined: Sep 2, 2017
  Messages: 49
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 25
  Halima muweke na mbunge yeyote na ataibuka mshindi,kuomba jimbo kunataka tahmini ya kina na kujiridhisha pasina shaka kuwa UNAFAA NA UTACHAGULIWA.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...