Maendeleo ndani ya Jiji la Dar yameletwa na Mkuu wa mkoa Paul Makonda

Mr worldwide

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2017
Messages
297
Points
500

Mr worldwide

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2017
297 500
Heri ya sikukuu ya krismasi na mwaka mpya wa 2020 JF

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni, Dar es salaam ndio mji mkubwa Tanzania na unachangamoto lukuki kutokana na idadi kubwa ya watu

Changamoto za Jiji hili kwa kiwango kikubwa zimetatuliwa na mkuu wa mkoa huu mheahimiwa Paul Makonda

Ndani ya Dar kuna majimbo yaliyo na wabunge wao, pasipo kujali jimbo la ccm au chadema, makonda amepeleka maendeleo kila kona ya jiji

Ndani ya jiji hospitali zimejengwa na zinaendelea kujengwa kwa juhudi zake
ofisi za walimu katika shule zote tena za kisasa ndani ya jiji zimejengwa

Barabara kwa kiwango cha lami na madaraja hapa jijini zinajengwa
Mtetezi wa wanyonge hasa wanawake wajane, mama ntilie na makundivyote makonda anatetea sana
kampeni ya usafi, Dar ya makonda inang'aa

kwa sasa Dar nzima inamtaka makonda agombee na kila jimbo linamuhitaji
 
Sijijui

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Messages
3,778
Points
2,000

Sijijui

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2018
3,778 2,000

Hivi budget ya maendeleo kupitia mkuu wa mkoa huwa inapitishwa na bunge gani au baraza lipi la madiwani? au mkuu wa mkoa anatumia pesa ya mfukoni mwake? nisaidieni mie ni mgeni hapa
 
emanuel goa

Senior Member
Joined
Mar 19, 2018
Messages
119
Points
250

emanuel goa

Senior Member
Joined Mar 19, 2018
119 250
Heri ya sikukuu ya krismasi na mwaka mpya wa 2020 JF

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni, Dar es salaam ndio mji mkubwa Tanzania na unachangamoto lukuki kutokana na idadi kubwa ya watu

Changamoto za Jiji hili kwa kiwango kikubwa zimetatuliwa na mkuu wa mkoa huu mheahimiwa Paul Makonda

Ndani ya Dar kuna majimbo yaliyo na wabunge wao, pasipo kujali jimbo la ccm au chadema, makonda amepeleka maendeleo kila kona ya jiji

Ndani ya jiji hospitali zimejengwa na zinaendelea kujengwa kwa juhudi zake
ofisi za walimu katika shule zote tena za kisasa ndani ya jiji zimejengwa

Barabara kwa kiwango cha lami na madaraja hapa jijini zinajengwa
Mtetezi wa wanyonge hasa wanawake wajane, mama ntilie na makundivyote makonda anatetea sana
kampeni ya usafi, Dar ya makonda inang'aa

kwa sasa Dar nzima inamtaka makonda agombee na kila jimbo linamuhitaji
Kila kona uchafu umerundikana naona haoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbinguni

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Messages
2,169
Points
1,500

mbinguni

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2013
2,169 1,500

Kwani kajenga yeye au ni pesa za walipa kodi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pakawa

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Messages
5,717
Points
2,000

Pakawa

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2009
5,717 2,000
Heri ya sikukuu ya krismasi na mwaka mpya wa 2020 JF

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni, Dar es salaam ndio mji mkubwa Tanzania na unachangamoto lukuki kutokana na idadi kubwa ya watu

Changamoto za Jiji hili kwa kiwango kikubwa zimetatuliwa na mkuu wa mkoa huu mheahimiwa Paul Makonda

Ndani ya Dar kuna majimbo yaliyo na wabunge wao, pasipo kujali jimbo la ccm au chadema, makonda amepeleka maendeleo kila kona ya jiji

Ndani ya jiji hospitali zimejengwa na zinaendelea kujengwa kwa juhudi zake
ofisi za walimu katika shule zote tena za kisasa ndani ya jiji zimejengwa

Barabara kwa kiwango cha lami na madaraja hapa jijini zinajengwa
Mtetezi wa wanyonge hasa wanawake wajane, mama ntilie na makundivyote makonda anatetea sana
kampeni ya usafi, Dar ya makonda inang'aa

kwa sasa Dar nzima inamtaka makonda agombee na kila jimbo linamuhitaji
Punguza porojo
Dar imekuwa ya ovyo sana ni chafu kupita maelezo
Maendeleo yanaletwa na pesa ya walipa kodi sio pesa ya bashite.

Crap Nonsense Rubbish mada...
 
Lituye

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Messages
920
Points
1,000

Lituye

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2015
920 1,000
Heri ya sikukuu ya krismasi na mwaka mpya wa 2020 JF

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni, Dar es salaam ndio mji mkubwa Tanzania na unachangamoto lukuki kutokana na idadi kubwa ya watu

Changamoto za Jiji hili kwa kiwango kikubwa zimetatuliwa na mkuu wa mkoa huu mheahimiwa Paul Makonda

Ndani ya Dar kuna majimbo yaliyo na wabunge wao, pasipo kujali jimbo la ccm au chadema, makonda amepeleka maendeleo kila kona ya jiji

Ndani ya jiji hospitali zimejengwa na zinaendelea kujengwa kwa juhudi zake
ofisi za walimu katika shule zote tena za kisasa ndani ya jiji zimejengwa

Barabara kwa kiwango cha lami na madaraja hapa jijini zinajengwa
Mtetezi wa wanyonge hasa wanawake wajane, mama ntilie na makundivyote makonda anatetea sana
kampeni ya usafi, Dar ya makonda inang'aa

kwa sasa Dar nzima inamtaka makonda agombee na kila jimbo linamuhitaji
Hebu punguzeni ujinga wenu kidogo basi. Sasa hilo li Bashite litamletea nani Maendeleo wakati Maendeleo yake ya Elimu limeshindwa mpka likaiba cheti ?

Maendeleo yanaletwa na wananchi wenyewe kwa kulipa Kodi na serikali hutumia pesa hizo ktk miradi iliyobuniwa na wananchi wenyewe kupitia wawakilishi wao madiwani au wabunge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mliberali

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Messages
6,521
Points
2,000

mliberali

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2012
6,521 2,000
Heri ya sikukuu ya krismasi na mwaka mpya wa 2020 JF

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni, Dar es salaam ndio mji mkubwa Tanzania na unachangamoto lukuki kutokana na idadi kubwa ya watu

Changamoto za Jiji hili kwa kiwango kikubwa zimetatuliwa na mkuu wa mkoa huu mheahimiwa Paul Makonda

Ndani ya Dar kuna majimbo yaliyo na wabunge wao, pasipo kujali jimbo la ccm au chadema, makonda amepeleka maendeleo kila kona ya jiji

Ndani ya jiji hospitali zimejengwa na zinaendelea kujengwa kwa juhudi zake
ofisi za walimu katika shule zote tena za kisasa ndani ya jiji zimejengwa

Barabara kwa kiwango cha lami na madaraja hapa jijini zinajengwa
Mtetezi wa wanyonge hasa wanawake wajane, mama ntilie na makundivyote makonda anatetea sana
kampeni ya usafi, Dar ya makonda inang'aa

kwa sasa Dar nzima inamtaka makonda agombee na kila jimbo linamuhitaji
Kilaza wewe! kazi ya meya nini?
 
dnjoki

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2013
Messages
413
Points
500

dnjoki

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2013
413 500
Heri ya sikukuu ya krismasi na mwaka mpya wa 2020 JF

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni, Dar es salaam ndio mji mkubwa Tanzania na unachangamoto lukuki kutokana na idadi kubwa ya watu

Changamoto za Jiji hili kwa kiwango kikubwa zimetatuliwa na mkuu wa mkoa huu mheahimiwa Paul Makonda

Ndani ya Dar kuna majimbo yaliyo na wabunge wao, pasipo kujali jimbo la ccm au chadema, makonda amepeleka maendeleo kila kona ya jiji

Ndani ya jiji hospitali zimejengwa na zinaendelea kujengwa kwa juhudi zake
ofisi za walimu katika shule zote tena za kisasa ndani ya jiji zimejengwa

Barabara kwa kiwango cha lami na madaraja hapa jijini zinajengwa
Mtetezi wa wanyonge hasa wanawake wajane, mama ntilie na makundivyote makonda anatetea sana
kampeni ya usafi, Dar ya makonda inang'aa

kwa sasa Dar nzima inamtaka makonda agombee na kila jimbo linamuhitaji
Puke!!!!!khaaa.....ptuuu!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Messages
68,453
Points
2,000

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined Nov 6, 2012
68,453 2,000
Heri ya sikukuu ya krismasi na mwaka mpya wa 2020 JF

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni, Dar es salaam ndio mji mkubwa Tanzania na unachangamoto lukuki kutokana na idadi kubwa ya watu

Changamoto za Jiji hili kwa kiwango kikubwa zimetatuliwa na mkuu wa mkoa huu mheahimiwa Paul Makonda

Ndani ya Dar kuna majimbo yaliyo na wabunge wao, pasipo kujali jimbo la ccm au chadema, makonda amepeleka maendeleo kila kona ya jiji

Ndani ya jiji hospitali zimejengwa na zinaendelea kujengwa kwa juhudi zake
ofisi za walimu katika shule zote tena za kisasa ndani ya jiji zimejengwa

Barabara kwa kiwango cha lami na madaraja hapa jijini zinajengwa
Mtetezi wa wanyonge hasa wanawake wajane, mama ntilie na makundivyote makonda anatetea sana
kampeni ya usafi, Dar ya makonda inang'aa

kwa sasa Dar nzima inamtaka makonda agombee na kila jimbo linamuhitaji
Umerukwa na akili ?
 
Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Messages
2,433
Points
2,000

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2018
2,433 2,000
Heri ya sikukuu ya krismasi na mwaka mpya wa 2020 JF

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni, Dar es salaam ndio mji mkubwa Tanzania na unachangamoto lukuki kutokana na idadi kubwa ya watu

Changamoto za Jiji hili kwa kiwango kikubwa zimetatuliwa na mkuu wa mkoa huu mheahimiwa Paul Makonda

Ndani ya Dar kuna majimbo yaliyo na wabunge wao, pasipo kujali jimbo la ccm au chadema, makonda amepeleka maendeleo kila kona ya jiji

Ndani ya jiji hospitali zimejengwa na zinaendelea kujengwa kwa juhudi zake
ofisi za walimu katika shule zote tena za kisasa ndani ya jiji zimejengwa

Barabara kwa kiwango cha lami na madaraja hapa jijini zinajengwa
Mtetezi wa wanyonge hasa wanawake wajane, mama ntilie na makundivyote makonda anatetea sana
kampeni ya usafi, Dar ya makonda inang'aa

kwa sasa Dar nzima inamtaka makonda agombee na kila jimbo linamuhitaji
sina cha kukuambia zaidi ya kusema wewe ni MPUMBAVU rudia mara 100 kwa sauti
nakushauri usome na kujifunza historia ya nchi/jiji la dar
nakushauri utafute JD Ya RC uje useme kama kuna kazi ya kuleta maendeleo kwenye eneo lke?
kuna tofauti kati ya kuleta maendeleo na kusimamia maendeleo.
huyo BASHITE NI MWIZI WA VYETI
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2019
Messages
2,842
Points
2,000

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2019
2,842 2,000
Heri ya sikukuu ya krismasi na mwaka mpya wa 2020 JF

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpatieni, Dar es salaam ndio mji mkubwa Tanzania na unachangamoto lukuki kutokana na idadi kubwa ya watu

Changamoto za Jiji hili kwa kiwango kikubwa zimetatuliwa na mkuu wa mkoa huu mheahimiwa Paul Makonda

Ndani ya Dar kuna majimbo yaliyo na wabunge wao, pasipo kujali jimbo la ccm au chadema, makonda amepeleka maendeleo kila kona ya jiji

Ndani ya jiji hospitali zimejengwa na zinaendelea kujengwa kwa juhudi zake
ofisi za walimu katika shule zote tena za kisasa ndani ya jiji zimejengwa

Barabara kwa kiwango cha lami na madaraja hapa jijini zinajengwa
Mtetezi wa wanyonge hasa wanawake wajane, mama ntilie na makundivyote makonda anatetea sana
kampeni ya usafi, Dar ya makonda inang'aa

kwa sasa Dar nzima inamtaka makonda agombee na kila jimbo linamuhitaji
Makonda kwa hili umezingua! Bora ungenyamaza tu kimya. Yaani Ukuu wako wa Mkoa na ukaribu na mkulu, umekufanya ujione uko juu kweli kweli! Kwa akili hizi, kweli ulifoji vyeti aisee.

Kwa hiyo Jiji halijajiwekea mipango yake ya maendeleo! Hakuna Baraza la Madiwani! Hakuna Wabunge! Hakuna Meya wa Jiji! Hakuna Wakurugenzi wa Manispaa na Jiji! Hakuna watangulizi wako! Hakuna wadau wa maendeleo! Isipokua ni wewe tu ndiye kila kitu.
 
Forum statistics

Threads 1,392,481
Members 528,636
Posts 34,110,333
Top