contask
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 968
- 1,991
- Thread starter
- #21
Simaanisha tusiwasadie Bali tahadhari inahitajikaMimi nikitoa KWA omba omba hasa wanawake wazee HUWA napata connection na PESA balaa na HII nimejijengea kama UTARATIBU .
Huwa simpi omba omba ambaye muda WOTE Yuko SEHEMU MOJA MPAKA nimemzoea
Huwa natoa PESA kama sadaka KWA omba omba nilikutana NAYE mara ya kwanza next time nikimkuta mara 3 pale pale simpi natafuta mwingine Mimi kuwapa omba omba nishatenga kama SEHEMU ya maisha yangu.
SABABU nikiwapa PESA WATU wazina na viungo vyao Huwa sioni matokeo kabisa