Omba yasikukute eh!!!

Omba yasikukute eh!!!

Kesho ifike tu bro, nijipoze na jibapa hadi nione kitanda kinazunguka 😂
Hivi Una ubavu na Konki Mh Dkt waziri wa Fedha na Mipango?.

Sidhani

Naona kabisa ww ni laini laini kwenye kimea na unakunywaga Brutal 😂😂😂
Ila kibia kizur kile...
 
Ni wanawake wachache mno wenye uwezo wa kumudu gharama za maisha yao bila kutumia maquu.
 
SIRA 31:27 Imeandikwa
......Pombe ni kama uhai kwa mtu ukinywa kwa kiasi. Maisha yafaa nini bila pombe? Imeumbwa iwafurahishe watu....

Upe moyo kilicho bora🍺🍺🍺
Braza mimi sifanyi kitu mpaka kiandikwe ila mara zote nazingatia vitu bora ,nafikiri biblia iliandikwa na mtu mwenye fikra kama zangu🤔
 
Ni wanawake wachache mno wenye uwezo wa kumudu gharama za maisha yao bila kutumia maquu.
Wanajiendekeza tu.

Mwanamke Ukiwa Golikipa ni ngumu sana kuchomoka kwenye huo mfumo.

Ila wanawake Weng wanachakarika , wana akili na wanajitahidi kupambana zaid hata ya wanaume wengine..

Alaf K yao wanampa anayestahili.

Ukiacha ugoli kipa, hawa wengine ambao wanauwezo ila wanauza K ni tamaa tu.
Ya kutaka mambo makubwa ambayo uwezo hawana, ni Tamaa tu.

Watulie na ridhk Mungu alizowajalia.
One Day Yes.
 
Kwenye mapambano yote ya mwanamke kijamii, kiuchumi, kisiasa n.k, K ni silaha muhimu kwake.
 
Back
Top Bottom