Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,304
- 5,654
- Thread starter
- #21
kwakwl acha niombe ombeKweli wanawake wa kibongo ni omba omba 😂
kwakwl acha niombe ombeKweli wanawake wa kibongo ni omba omba 😂
Kaka leo weekend tunakula pombe wapi bwasheeNadhan labda ni Dstv au Azam.
Na utakosa tamthiliya zako za Kimbea.
Maana Hivi vingine vya simu hata buku 1 unaishi kwa siku.
Tmr unapambana upate hela uweke kikubwa zaidi.
Au Labda tuambie kuwa unamtegemea yeye 100% ili maisha yako yaende. Na kuwa hujajifunza tu kuwa Wanawake na wao wanatakiwa wachakarike.
Bro tulewe achana na vitoto vya alfu mbili.Kweli wanawake wa kibongo ni omba omba 😂
Workmate.Kweli wanawake wa kibongo ni omba omba 😂
Evelyn Salt pokea simu aseeWorkmate.
Mh Dkt Evelyn Salt, waziri wa Fedha na Mipango serikali teule ya Mh Rais Dennis Roberts. 👋👋👋
Kuna mtu katoa uzi wa kumdiss rais wetu, inabidi tumvagae kama wafanyavyo chawa wa mama 😂😂😂Workmate.
Mh Dkt Evelyn Salt, waziri wa Fedha na Mipango serikali teule ya Mh Rais Dennis Roberts. 👋👋👋
Bro. Niko Goba center hapa. plan B.Kaka leo weekend tunakula pombe wapi bwashee
Kuna uteuzi? Mheshimiwa robert kishaanza kupanga safu?Evelyn Salt pokea simu asee
Kesho ifike tu bro, nijipoze na jibapa hadi nione kitanda kinazunguka 😂Bro tulewe achana na vitoto vya alfu mbili.
Mimi nimeanza leo ,kesho nipo off mpka jpili ndio naingia jobKesho ifike tu bro, nijipoze na jibapa hadi nione kitanda kinazunguka 😂
Babes nani tena? mi nikajua rasmi uko single.Mlipa kifurushi umemlia buyu jmn nakimeisha naona leo nakula jeuri yangu haki ya kweli jeuri kwishaaa
Huyo hajaombaKweli wanawake wa kibongo ni omba omba 😂
Sijauona huo uzi aisee...Kuna mtu katoa uzi wa kumdiss rais wetu, inabidi tumvagae kama wafanyavyo chawa wa mama 😂😂😂
Ila pia nawaza utakuta huyo mtu ni rais mwenyewe kaamua kuja kujidiss ili tumuongelee, make rais wetu nae ana mambo mengi 😂
Kula Kimea Bro. Kula kimea... hii dunia tunapita. Enjoy while you can...Mimi nimeanza leo ,kesho nipo off mpka jpili ndio naingia job
Safi sana master hapa machuja nafaka kwa mpangilio maalumu tuKula Kimea Bro. Kula kimea... hii dunia tunapita. Enjoy while you can...
Kumbe umezima notification mkuu? Wewe naona hutaki kwenda Mars na Mhe Dkt RobbyKuna uteuzi? Mheshimiwa robert kishaanza kupanga safu?
Anazo mpaka za Kwa mpalange huyo anataka apigwe pote poteUna nyege tu ww