Omba omba wa Leo kanishangaza

Omba omba wa Leo kanishangaza

Sio lazima useme ulipaki gari. Siku hizi wengi ndio wenye magari. Acha ushamba wa ki singida.

mkuu ilo povu la nini ivi vitu vya kawaida tuu-ni maelezo tu kwa jumla -mbona mtu akisema nika fika nyumbani hamuulizi kumbe una kwako-gari aja sema ni yake au ni ya kazini-na hata kwako ina wezekana nyumba yako au mpangaji-tusiwe na roho za kwa nini-maendeleo haji kwa kauli zinazo onesha kusto taka kushindwa
 
Mpaka mwanaume anakuomba hela ujuwe kweli hali mbaya, pima hali ilivyo, ukiona kweli anahitaji mpe tu..
 
Kwkweli ,kuomba ni jambo la aibu sana ukiona mpaka mtu anaikubali aibu ujue kweli anatatizo ,huenda akadanganyia kitu kingine kuombea kirahisi ,lakini lipo linalomsibu
 
mkuu ilo povu la nini ivi vitu vya kawaida tuu-ni maelezo tu kwa jumla -mbona mtu akisema nika fika nyumbani hamuulizi kumbe una kwako-gari aja sema ni yake au ni ya kazini-na hata kwako ina wezekana nyumba yako au mpangaji-tusiwe na roho za kwa nini-maendeleo haji kwa kauli zinazo onesha kusto taka kushindwa
Bora unisaidie kiongozi maana kutamka neno gari imekuwa shida na hata sijasema kama langu au la?
 
Kwkweli ,kuomba ni jambo la aibu sana ukiona mpaka mtu anaikubali aibu ujue kweli anatatizo ,huenda akadanganyia kitu kingine kuombea kirahisi ,lakini lipo linalomsibu
Hakika mkuu...
 
Mwanaume kazaliwa na pride, kuomba ni kama kuwa chini ya miguu yako umuokoe (wenye shida kweli), sasa kama zipo why not, hasa kama ni nauli tu..
 
Bora unisaidie kiongozi maana kutamka neno gari imekuwa shida na hata sijasema kama langu au la?

chuki kwa wa afrika ni nyingi mnoo-yani nashangaa neno gari limemkera mnoo akaacha kuchangia mada nzitoo kwa ubinafsi-waafrica nani katupa nafsi za ovu
 
Wewe tumbili unamiliki makalio tu. Kama si dada yako kua mchepuko wa yule fala bado ungekua unachimba dhahabu. Nakujua fika....
kama sio dada yako kukatika vizuri shemeji akatoa hela ya matumizi usingekuwa na nguvu ya kushika hicho kitekno na kuandika...
 
Kama umesoma na kuielewa dini utajua ya kwamba mitihani ya Mwenyezi Mungu hapa Duniani ni dhahiri. Kuna Malaika wako miongoni mwetu. Huwezi kujua wewe kwa kutoa hiyo elfu 2 Jumatatu ya kesho utapata zari au bahati gani! Utuletee mrejesho wa baraka za wiki kuanzia kesho. beco
 
Kuna watu wenye roho mbaya hum jf....yaan jamaa katoa stor yake watu wana mind gar yake daah...ukiona mtu anakumind kuhusu gar ujue ana hal mbaya sana ya maisha na hilo gar kwake ni dream....sasa mlitaka jamaa ahadithiaje stor yake...af mtu sometime wala hata uwaz yaan et gar sjui nin..umeongea kawaida.ila,mijitu yenye roho mbaya utaiskia."so umetujulisha kua una gar"?...watu wa hvyo magar watayaskiaga tuu
 
Tutanunuaje mkuu wakati hatuna uwezo?

...............Inabidi tutoe maneno ya kukera ili kutuliza roho zetu.

Kuna watu humu ukisema nimepaki gari roho zinawauuuma, na wewe si ununue.
 
Kuna watu wenye roho mbaya hum jf....yaan jamaa katoa stor yake watu wana mind gar yake daah...ukiona mtu anakumind kuhusu gar ujue ana hal mbaya sana ya maisha na hilo gar kwake ni dream....sasa mlitaka jamaa ahadithiaje stor yake...af mtu sometime wala hata uwaz yaan et gar sjui nin..umeongea kawaida.ila,mijitu yenye roho mbaya utaiskia."so umetujulisha kua una gar"?...watu wa hvyo magar watayaskiaga tuu
Ondoa hofu yale ni maneno tu hata kwenye khanga yapo. Tunapunguza stress kwa kuandika vile. Sawa dogo. Haya kakojoe ukalale kesho shule...
 
Tutanunuaje mkuu wakati hatuna uwezo?

...............Inabidi tutoe maneno ya kukera ili kutuliza roho zetu.
Sio dawa ,kipo kitu unacho mwenye gari hana , pambana na hali yako km ipo , ipo tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom