Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,213
- 20,988
Hiyo Singida vip tena mkuu?Sio lazima useme ulipaki gari. Siku hizi wengi ndio wenye magari. Acha ushamba wa ki singida.
Hiyo Singida vip tena mkuu?Sio lazima useme ulipaki gari. Siku hizi wengi ndio wenye magari. Acha ushamba wa ki singida.
Una akili sana.Next time jaribu kumpima....mwambie kama unataka nauli twende tukasimamishe gari nikulipie ...akimbwera tu ujue tapeli uyo
Sorry my dearHiyo Singida vip tena mkuu?
Naomba radhi shemeji zangu. Dadeni alikua kaniudhi ndio nikachanganya. Please accept my apologies.Tutake radh watu wa singda kutufananisha na watu wapuuzi
Hapo uwezo wako wakufikiria ulipoishia.hapo sijaona cha kushangaza mpaka ufikie kuleta uzi humu...labda ulitaka watu tujue kuwa nawe ni miongoni mwa watanzania wachache wenye kumiliki magari
Kweli kabsaa,,,lazima agwayeNext time jaribu kumpima....mwambie kama unataka nauli twende tukasimamishe gari nikulipie ...akimbwera tu ujue tapeli uyo
Wazo zuri kibaya thread ukishatunga huwezi kueditMtu akiwa na shida ya siku moja unamdhalilisha kuwa ni omba omba dah
Ungesema kuna jamaa alipungukiwa nauli nikamsaidia
Mtoa thread umezingua
Shunie nakuzimiaSawa Mungu azidi kukubariki
Wengi wanaogopa shombo za makonda na kudhalilishana ndani ya gariSasa kuna chuma ulete,,ukimpa tu imekula kwako,,juzi nimekutana na mmoja mikocheni anatiambia anaomba nauli katoka mlimani city kwa mguu mpka mikochen so nimpe aende kkoo,nikamwambia sikupi naogopa
Hivi kwann wanaonaga rahis kuomba mtu nauli kwann wasiende kwa daldala wamuombe kinda,,kuna tofauti gani, hapo ndo wananitiaga mashaka
Wewe ni mgosi?nimewakumbuka wagosi wakaya."na sasa tumalizie salamu zetu kwa makamba.hawa kina matonya hawako uko tu dar es salama,ata uku tanga wamejazana kiamaaa"
Na we mshamba pia kwenye sentesi yako lazima uchomeke kiingereza au kwenye ukoo wenu we ndo wakwanza kumaliza kidato cha nne?



Sasa mkuu buku mbili tu umemfuatilia mpaka stend Je ungempa buku ten si ungemfuatilia mji mzima

, dah we lazima utakua mkwere, sio kwa mtazamo huuHawezi kuwa mkwere ,wa kwere hawana muda na mtu kama Mzee wamsoga, dah we lazima utakua mkwere, sio kwa mtazamo huu
mshamba ni wewe ndezi.... usikute unakaa kwa shemegi unasubiri ugali wa shkamoo mnakuja kujinasifu mtandaoni..... kila mtu aweke anachomiliki hapa si tutakimbiana.... hii ibaki kuwa mitandao tu, mambo ya personal life sijui unamiliki nn vibakie huko, kiazi weweTatizo ni lenu na ushamba wenu, sasa akisema amepaki gari wewe unawaza anajionyesha yani show off kumbe sio... Wakati sahivi magari ni mengi usipokua na hata vitz basi acha kufanya hiyo kazi unayoifanya acheni ushamba, elewa content vingine achana navyo
Wewe tumbili unamiliki makalio tu. Kama si dada yako kua mchepuko wa yule fala bado ungekua unachimba dhahabu. Nakujua fika....mshamba ni wewe ndezi.... usikute unakaa kwa shemegi unasubiri ugali wa shkamoo mnakuja kujinasifu mtandaoni..... kila mtu aweke anachomiliki hapa si tutakimbiana.... hii ibaki kuwa mitandao tu, mambo ya personal life sijui unamiliki nn vibakie huko, kiazi wewe