Omba Mungu usipate mafua hapa ulaya

Omba Mungu usipate mafua hapa ulaya

Limbwata nilikolipata Safari hii si la mchezo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu limbwata lenyewe unamchanganyia kwenye nyungu, akimaliza kujifukiza anakunywa na glass moja.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu limbwata lenyewe unamchanganyia kwenye nyungu, akimaliza kujifukiza anakunywa na glass moja.
😂😂😂😂😂
 
Shkamoo babu
Naskia K-vant za Ilala zone ladha ya pekee kabisa pia ni tamu balaa.
Msalimie sana pierr liquid,
Pierr Liquid ndo nani? Mi labda uniambie nimsalimie Bashite
 
Mafua Kwa mzungu ni deadily disease , in short jamaa wapo vizur Sana upande wa safety , kwao kauli mbiu ni usalama Kwanza , wapo very sensitive kutengeneza defence Kwa ajili ya usalama wao, hata makazin kwao wakigundua unafanya kazi huku hali yako kiafya sio nzur wanaweza wakakutimua kazi...ni heri utoe taarifa kabisa na ustay home mpak ukae mkao...
Africa tunaishi kama wanyama wa mwituni , hatuna humanity kuanzia viongozi wa kisiasa mpak sisi wenyewe hatujali usalama wetu kabisa , na swala la afya sio kipaumbele Kwa nchi nyingi za Africa ,

Madaktari wa Africa wanafanya kazi under high risk and miserable condition , na wanakuwa overloaded, Africa watu wengi wanakufa Kwa kukosa uangalifu wa kiafya , hospital kubwa kama huna pesa unaenda kujifia tuu ,..... Ukiishi Africa ombea Tu afya yako iwe imara , vinginevyo ni majanga , ukipata chance ya kuishi ulaya nenda kaishi huko aisee , Bora urudi huku ukiwa maiti
I second u[emoji122][emoji122][emoji122]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina boss wangu Mzungu...wewe ukiwa na issue zako za kukimbizana mtaani mpigie simu tu mwambie una flu. ...wakati unampigia simu ziba pua ili sauti ya mafua mafua itoke....siku 5 za ku recover ...
Haahaahaa...hii formula nsitumiaga sana ofisini,

Huyu boss wangu mmarekani jamani ni mwoga wa mafua sijawahi ona!

Ukikohoa tu au hata chafya anakwambia sepa ukajiuguze kwanza[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwamba wazungu wana kinga ndogo. Mazingira ya baridi kali mafua yanasumbua sana. Hata ukiwa mwafrika baridi la ulaya mafua yake weza poteza maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaah wapi?

Nimekaa Finland miaka 3 na ile ni nchi ya 5 au sita kwa baridi lakufa mtu duniani, nchi ambayo lowest temperature touches even minus 90 degrees! Imagine this

Mbona nilikuwa nadunda tu

Sema wazungu wana allergy na flu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kwamba wazungu wana kinga ndogo. Mazingira ya baridi kali mafua yanasumbua sana. Hata ukiwa mwafrika baridi la ulaya mafua yake weza poteza maisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Ulaya. Hii mafua Makali hasa what we call „Grippe „ Lakini kuua mwafrica. Sijui labda mazingira yangu tu. Sijawahi Sikiq mwafrika kafariki. 11 years now. Ila wazungu hufariki kweli. Kabla ya corona haijachanganya. Grippe 🤧 ilionekana Hatari. Sasa Sijui itakuwaje Herbst na Winter. I can not imagine. Kumaliza mwaka huu ndo Mafanikio Makubwa ya mwanadamu hapa Ulaya.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulaya. Hii mafua Makali hasa what we call „Grippe „ Lakini kuua mwafrica. Sijui labda mazingira yangu tu. Sijawahi Sikiq mwafrika kafariki. 11 years now. Ila wazungu hufariki kweli. Kabla ya corona haijachanganya. Grippe [emoji1784] ilionekana Hatari. Sasa Sijui itakuwaje Herbst na Winter. I can not imagine. Kumaliza mwaka huu ndo Mafanikio Makubwa ya mwanadamu hapa Ulaya.


Sent using Jamii Forums mobile app
Haaah!
 
Kuna siku niliingia pharmacy wakaniuliza kama wanichanje mafua, nikawambia miye ngozi nyeusi huwa sisumbuliwi na mafua, jogoo halifi kwa utitiri....wakabaki wanatabasamu tu....
 
Back
Top Bottom