Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 15,829
- 40,372
Narudia Tena omba Mungu usipate mafua hapa ulaya utaomba ardhi ipasuke.
Waafrika tuna vimafua flani vya kikuda hasa ukiwa maeneo ya baridi Kama tukuyu pale isonje au Arusha.
Vimafua hivi tukiwa bongo tunavichukulia poa tu ; tunafuta na leso au wale wasio wastaarabu wanafuta kwa mkono.
Sasa ole wako hivyo vimafua vikukute hapa ulaya utapachukia maana polisi watakuwa wako VYOMBO vyote vya usalama wa Jamii utakuwa halali yake .
Achilia mbali unyanyapaa ambao unaweza kudumu kwa mwaka mzima.
Mwafrika ukipata haya mafua ya kawaida hapa ulaya kwasasa hata marafiki hutawaona mpaka 2021 .
Wengine walioko hapa ulaya watupe uzoefu hasa hapa Italy.