Omba Mungu baba yako afe akiwa ameshakusomesha

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
15,821
Reaction score
40,331
Baba yangu amefariki ameondoka duniani nimeumia Sana niliishi nae miaka 38 ya uhai wetu tukiwa pamoja Mimi nayeye.

Namshukuru baba yangu alinisomesha siishi kwa tabu duniani.

Mungu amlaze baba yangu mahali pema kabisa kwa namna alivyonisaidia hapa duniani.

Naumia Sana baba yangu nilikupenda Sana baba naumia Sana ila Sina namna namshukuru Mungu hata kwa uwepo wako kwenye maisha yangu.

Wewe ni shujaa wangu baba.

Rip dady.
 
Pole mkuu
 
Kuzaliwa maskini sio kosa lakini kufa maskini ni kosa kubwa
 
Mu
Maombi yangu ni wazazi wangu wasiingie chini ya ardhi

kabla hawajala mema ya hii dunia kwa level ninayoitaka mimi,si wao.
Mungu akubariki mkuu hizo ni baraka utapata kwa kuwaombea heri wazazi wako.
 
mimi sijasomeshwa na baba yangu(r.i.p) ila nilifanikiwa kufika chuo kikuu.
NB:usi kariri mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom