figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 26,715
- 59,249
kupata ni majaaliwa ndo naijua.. Upo mia? Mic you
halaaa njo leo ukimaliza mishe hahaha mia
atakuwa yule aloimba "kazi yangu ya dukani inaniweka matatani". r.i.p omar. mia
Hakuna ubaya lakini hakuna ulazima.Kuna ubaya gani asimention,wakti JK ni bingwa wa kuhudhuria misiba?!!!!! hasa ya wasanii"
Omari Omari msanii maarufu wa mchiriku amefariki dunia, ....(source clouds fm).....bila shaka JK atahudhuria mazishi yake.
View attachment 78606
R.I.P kamanda.
kuna haja ya kumention kuwa JK atahudhuria?
acha dhihaka
JK ni Rais wa misiba ya Wasanii.
Anapenda kwenda kwenye majanga kama haya lakini kwenye matatizo mfano ya kuchomwa kwa makanisa na uharibufu wa mali, kujeruhiwa na mauaji ya watumishi wa Kanisa, hapo JK yupo kimya kabisa, na ikizingatiwa ni Waumini wenzie wanaotenda mambo hayo.
Ushauri kwa JK abadilke asifikiri kushiriki misiba ya wasanii ni kujidanganya kwa kujiweka akribu na vijana akijua kuwa atapendwa na vijana.
HATUDANGANYIIIIIIII.
Akitaka tumuelewe ashughulikie matatizo yanayogusa vijana mfano Ajira kwa vijana, vitendo vya unyanyasaji vya askari wa jiji na manispaa kuhusu Wamachinga, na kudhibiti mfumuko wa bei nchini.
Labda labda tutamuelewa!!!!!!!!!!!!!!!
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!!!
Ni yule aliyeimba: 'ndevu amenyimwa ng'ombe lakini mbuzi kapeeeewa' Upo hapo mlongo vangu gfsonwin? R.I.P. Omary Omarypolen wafiwa, RIP omar
mwenye picha yake hebu atuwekee hapa kwanza tumjue lol!
JK Mwenyewe msanii
ndio maana wasanii wenzake wakipatwa na matatizo anakua mstari wa mbele
kuwasaidia...R.I.P Omari