Omar al Bashir kupelekwa Hague

Omar al Bashir kupelekwa Hague

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,334
Reaction score
12,466
Omar al Bashir ameshitakiwa kwa mauji ya halaiki huko Dafour na kodfona kusini ambapo waarabu waliwau wakulima weusi maelfu.

Baada ya kushitakiwa ICC serikali ya mpito ya Sudan imekubali kushirikiana na ICC hivyo kuna uwezekano mkubwa akasafirishwa hadi Hague

Cc: BBCswahili
 
Kuna jirani yake kutoka East Africa anafuata hivi karibuni
Naona ICC wakichunguliaga EAC huwa wanatamani waichukue yote maana hakuna msafi labda bwana Gen.Ndaishimiye kwakuwa bado mgeni ila hawa wengne
1.Mikael mkuu
2.Pk
3.M7
4.Makofia wa Nubia
5.Kenyata aliweza kujitetea kwa kuwa kuna English kwa kichwa
 
Back
Top Bottom