Niliangalia WHITE HOUSE DOWN kwa mara ya kwanza pale MLIMANI CITY baada ya kupata sifa zake kutoka kwa wadau na kutokuwa na ujanja wa kuidownload, kwa ulevi wangu wa movie nikajitosa Mlimani City na kwakweli sikujutia kiingilio changu japo niligumia kidogo.
Nipo Marekani kwasasa na katika fukunyufukunyu zangu za Jamii Forums kila baada ya dakika chache nikakutana na huu uzi. Nilikuwa kwenye conference moja muhimu sana lakini huu uzi ulifanikiwa kuihamisha akili yangu na kuanza kuisakanya THE OLYMPUS HAS FALLEN.
Nikanikiwa kui-rent for 24hrs. E bwana hii kitu ni noma wadau.
Ila kinachonipa hofu kwa mwenendo wa hizi movie nahisi haya mambo yatakuja kutokea siku moja live, maana hawa jamaa (USA) wana vimikono kila sehemu ya Dunia, na vimikono vyao siyo vya heri.
Angalia movie nyingi ambazo kuna actors wenye asili ya Russia, utaona yale yale.
Pia nachukia hii hali ya makampuni ya filamu ya nchi nyingine kutokutengeneza filamu zinazo onyesha kuwa kuna action zimefanyika na kufanikiwa against US.
Movies nyingi zinaonyesha ushindi wa US dhidi ya kila kitu (japo naamini wanavyoendelea kujidanganya kuna siku isiyo na jina itakuja kula kwao)