mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,731
walipatanishwa kwa Fedha sasa wametenganishwa na Upepo wa CDM arumeruVp cku izi sendeka na kilaza millya zinapanda kweli?
walipatanishwa kwa Fedha sasa wametenganishwa na Upepo wa CDM arumeruVp cku izi sendeka na kilaza millya zinapanda kweli?
Unaweza kujikuta unatiwa vidole aiseee kwa umbea.
Nanukuu kauli aliyo itoa mbele ya msafara wa CDM ulio kuwa ukielekea Mererani.JOSHUA UTASHINDA,UBUNGE UTASHINDA NA NINAVYOSEMA I MEAN IT mwisho wa kunukuu...
Wakiwa safarini CDM kuelekea Mererani walikutana na Mh Sendeka ndipo Sendeka aliposhuka kwenye Gari na kutaka kukumbatiana na Dr Slaa,Dr alikataa na kumwita mnafiki,Sendeka alifuata gari alilo panda Nas na kumsalimia kwa kumkumbatia na kutoa kauli za kumhakikishia ushindi...
CHADEMA wakishindwa uchaguzi tusiwe tunashangaa kwa sababu taarifa tunazozipata humu JF si za kweli bali katika harakati tu za kusogeza siku ili muda wa kutoka kazini utimie haraka. Hivi kweli Ole Sendeka ni mtu wa kutamka neno kama hilo. Ngoja nikapate kikombe cha kahawa na story kidogo za uswazi, manake huu utani wa humu JF sasa balaa.Nanukuu kauli aliyo itoa mbele ya msafara wa CDM ulio kuwa ukielekea Mererani.JOSHUA UTASHINDA,UBUNGE UTASHINDA NA NINAVYOSEMA I MEAN IT mwisho wa kunukuu...