Manyovumpya
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 742
- 505
Hahahaaa basi sijibu tena maana naona na ww umeongeza kwenye kapaka..ila kiukweli nachukia wasalitiKweli kabisa. Ndio maana mlipowaona ka tumbili mkawa pyuuu pyuuu bila huruma. Hasira ikawaka hadi risasi 38. Kweli kaone ka kapaka kyeusiiiii yaani kale kakichawiii kanakostahili kuuliwa mbaliiiii na mazishi akazike mwenyewe mwenye nacho. Kumbe tunadhani tunaishi na watu lakini ni mashetwani kabisa. Tumefika mahali pa kuwaona watu walio na mfano wa Mungu kuwa ni mapaka meusi!!!!! That is too much man. Sijui ccm hii imetoka wapi. Ile ya Nyerere ilienda naye kaburini nadhani. Kadi yangu inasema ati Binadamu wote ni sawa. Kumbe inatakiwa iseme; Yeyeto anayeipinga ccm ni Tumbili au Paka mweusiii.
Ndugu, nenda taratiiibu. Usidhani utawala huu ni wa milele
Sasa unatafuta ugomvi na kina waitaraaa mimi simoHahahaaa basi sijibu tena maana naona na ww umeongeza kwenye kapaka..ila kiukweli nachukia wasaliti
Hahahaa haumo wakati nakutaja hapaSasa unatafuta ugomvi na kina waitaraaa mimi simo
Ulipiganiwa na nani wakati Uhuru uliombwa New York!!!? Ninyi ndio mnaodanganya wasiojielewa kuwa mlipata Uhuru kwa kupigana Vita, hivyo kutaka kuulinda kwa gharama yoyote, wakati ninyi ni opportunists tu mliovizia matunda ya uhuru!!!
Ni nchi gani duniani ambako hakuna crimes kama hizi hapa kwetu?Sasa kama watu wanapotea, uwawa na kupigwa risasi mchana kumweupe, kutekwa na bado raia wanafia mikononi mwa police, unategemea watu wasemeje, usisubiri mpaka ya kukute.