Naijua vizuri sana background yako kwa hiyo sikushangai .Foolish fool
Ndio umeandika takataka gani Sasa hi!!!?Nimemsikia huyu kijana wa kile kinachojiita BAVICHA anayeitwa Ole Sosopi anaongea kwa kiburi na dharau kubwa kuwa eti jeshi letu la polisi lijitathmini kama lina uwezo wa kulinda wananchi na mali Zao.
Kauli hizi za kutia kichefuchefu zinakera na kuudhi ukizingatia kuwa Tanzania hii ni nchi kubwa na matukio hayawezi kukosekana hata kama ingekuwa nchi takatifu.
Madhaifu ya hapa na pale ndani ya jeshi la polisi isiwe sababu ya mtoto huyu kuja na kauli za kuudhi na kulidhalilisha.
Nimfundishe Bwana mdogo huyu Sosopi kwamba ujanja mwingi mbele giza.Anaweza kujifu nza zaidi hata kwa viongozi wake wa CHADEMA ambao walijionyesha kuwa ni wajanja mbele ya jamii na kwamba hata sheria zetu hawaziheshimu lakini sasa ukiwaona wanatia huruma.
Sawa zwazwaUzi haufutwi kwa ajili ya matusi .Endeleeni tuzidi kufaidi ujinga wa Bavicha
Kwa hali hiii sijui ninyi watu mnataka nchi hii mbaki nyinyi tuu! Maana kila kitakacho ongelewa na upinzani nilazima mkikosoe Na kukipinga kwa kila hali, basi tafakarini hayo mnayo sikia kwa kina alafu jiulizeni yana ukweli kiasi gani ?kabla ya kutoa shutuma nyiingi.TANZANIA NI YETU IFIKE MAHALI TUIJENGE NCHI KWA UMOJA SII KWA CHUKI NA VISASI. Ni maoni tuu.
Well said.Hujawahi kufa ndio maana unabwabwaja sana dogo waache wakupiganie kazi walionayo Chadema babaako haiwezi
Ulipiganiwa na nani wakati Uhuru uliombwa New York!!!? Ninyi ndio mnaodanganya wasiojielewa kuwa mlipata Uhuru kwa kupigana Vita, hivyo kutaka kuulinda kwa gharama yoyote, wakati ninyi ni opportunists tu mliovizia matunda ya uhuru!!!Umeongea Ukweli lkn HAUJAWA IMPARTIAL
Ukweli ninyi pia ndio ambao mnataka nchi Hii isiwe na Serikali..SABABU NI KWAMBA MNAPINGA KIIIILA KITU AMBACHO NCHI KUPITIA SERIKALI ILIYOWEKWA MADARAKANI KIHALALI INAFANYA.. KWENU HAKUNA JEMA HATA MOJA.. HATA UHURU NA AMANI INAYOKUFANYA UPATE MDA WA KUINGIA JF NA KUJIBU/KUSOMA THREADS KWENU MNAJUA AMANI HII ILISHUSHWA TOKA MBINGUNI.. na wala siyo JUHUDI YA SERIKALI KUPITIA JESHI LA POLISI.. How funny it is !!!! HAMFAHAMU KUWA ILIPIGANIWA !!!
So mawazo yako ni sahihi lkn The vice versa is true
TUJITAFAKARI SOTE KAMA LENGO NI KUTOKA HAPA TULIPOKWAMA
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipiganiwa na nani wakati Uhuru uliombwa New York!!!? Ninyi ndio mnaodanganya wasiojielewa kuwa mlipata Uhuru kwa kupigana Vita, hivyo kutaka kuulinda kwa gharama yoyote, wakati ninyi ni opportunists tu mliovizia matunda ya uhuru!!!
Labda wanatafuta waolewe kwa hao e.uKabisa mkuu'maanake wakibanwa kidogo na sheria breki yao ya kwanza ni EU.Ndugu zetu wa chadomo hao EU wanawasanifu tu ,msifikiri wanawapenda saana.
Mi kwangu sio mtu ni aina flan hivi ya ka paka tena keusiii na usinilazimishe nimuone ni mtu...ni haki yangu ku tafsiri ninachokiaminiUna point nzuri saana lakini huna uwezo wa kuzileta mbele za watu. Kwanza kabisa nadhani hayo maneno yangelitoka kinywani mwa mwana ccm yeyote wa ngazi yeyote hata balozi wa nyumba kumi, wewe ungetulia kwanza halafu umchambue uuone ukweli wake. Lakini kwa kuwa tu limetolewa na mpingaji, wewe hukumlazia damu.
Wazo langu tu ni kuwa; Tulia kidogo, umchunguze huyo Sosopi uone kama kuna ukweli ndani yake au la. Hebu fikiri; Kama "Mpingaji" yeyote anataka hata kufanya besidei yake tu kitaa anahitaji kibali cha polisi asijeambiwa; "Umefanya mkutano wahadhara". Lakini mjumbe wa shina anatamka kuwa njoo kwenye mkutano wa hadhara pale uwanja wa sokoni kesho. Ukikosa utabambuliwa. Wote tunaenda na anahutubia mtu mambo ya siasa na kuwaponda hao wapingaji kwa masaa mengi tu wala hao polisi hawawazuii. Weye unaona haki hiyo?
Sosopi kawaambia, Jitathiminini. Tusi liko wapi hapo? Huyo ni Sosopi mtu sio "kajitu"

Kweli kabisa. Ndio maana mlipowaona ka tumbili mkawa pyuuu pyuuu bila huruma. Hasira ikawaka hadi risasi 38. Kweli kaone ka kapaka kyeusiiiii yaani kale kakichawiii kanakostahili kuuliwa mbaliiiii na mazishi akazike mwenyewe mwenye nacho. Kumbe tunadhani tunaishi na watu lakini ni mashetwani kabisa. Tumefika mahali pa kuwaona watu walio na mfano wa Mungu kuwa ni mapaka meusi!!!!! That is too much man. Sijui ccm hii imetoka wapi. Ile ya Nyerere ilienda naye kaburini nadhani. Kadi yangu inasema ati Binadamu wote ni sawa. Kumbe inatakiwa iseme; Yeyeto anayeipinga ccm ni Tumbili au Paka mweusiii.Mi kwangu sio mtu ni aina flan hivi ya ka paka tena keusiii na usinilazimishe nimuone ni mtu...ni haki yangu ku tafsiri ninachokiamini
Huyo akiingia anga zangu namg'oa tu meno ya sebuleni yote anywe uji kwa.urahisi zaidi,na akiwa anaongea maneno yamtoke vizuriNimemsikia huyu kijana wa kile kinachojiita BAVICHA anayeitwa Ole Sosopi anaongea kwa kiburi na dharau kubwa kuwa eti jeshi letu la polisi lijitathmini kama lina uwezo wa kulinda wananchi na mali Zao.
Kauli hizi za kutia kichefuchefu zinakera na kuudhi ukizingatia kuwa Tanzania hii ni nchi kubwa na matukio hayawezi kukosekana hata kama ingekuwa nchi takatifu.
Madhaifu ya hapa na pale ndani ya jeshi la polisi isiwe sababu ya mtoto huyu kuja na kauli za kuudhi na kulidhalilisha.
Nimfundishe Bwana mdogo huyu Sosopi kwamba ujanja mwingi mbele giza.Anaweza kujifu nza zaidi hata kwa viongozi wake wa CHADEMA ambao walijionyesha kuwa ni wajanja mbele ya jamii na kwamba hata sheria zetu hawaziheshimu lakini sasa ukiwaona wanatia huruma.
Nimemsikia huyu kijana wa kile kinachojiita BAVICHA anayeitwa Ole Sosopi anaongea kwa kiburi na dharau kubwa kuwa eti jeshi letu la polisi lijitathmini kama lina uwezo wa kulinda wananchi na mali Zao.
Kauli hizi za kutia kichefuchefu zinakera na kuudhi ukizingatia kuwa Tanzania hii ni nchi kubwa na matukio hayawezi kukosekana hata kama ingekuwa nchi takatifu.
Madhaifu ya hapa na pale ndani ya jeshi la polisi isiwe sababu ya mtoto huyu kuja na kauli za kuudhi na kulidhalilisha.
Nimfundishe Bwana mdogo huyu Sosopi kwamba ujanja mwingi mbele giza.Anaweza kujifu nza zaidi hata kwa viongozi wake wa CHADEMA ambao walijionyesha kuwa ni wajanja mbele ya jamii na kwamba hata sheria zetu hawaziheshimu lakini sasa ukiwaona wanatia huruma.
Yule ni Mmasai sio Mbantu mlaini laini na mnafiki kama wewe ngumbaru.Nimemsikia huyu kijana wa kile kinachojiita BAVICHA anayeitwa Ole Sosopi anaongea kwa kiburi na dharau kubwa kuwa eti jeshi letu la polisi lijitathmini kama lina uwezo wa kulinda wananchi na mali Zao.
Kauli hizi za kutia kichefuchefu zinakera na kuudhi ukizingatia kuwa Tanzania hii ni nchi kubwa na matukio hayawezi kukosekana hata kama ingekuwa nchi takatifu.
Madhaifu ya hapa na pale ndani ya jeshi la polisi isiwe sababu ya mtoto huyu kuja na kauli za kuudhi na kulidhalilisha.
Nimfundishe Bwana mdogo huyu Sosopi kwamba ujanja mwingi mbele giza.Anaweza kujifu nza zaidi hata kwa viongozi wake wa CHADEMA ambao walijionyesha kuwa ni wajanja mbele ya jamii na kwamba hata sheria zetu hawaziheshimu lakini sasa ukiwaona wanatia huruma.
Yule ni Mmasai sio Mbantu mlaini laini na mnafiki kama wewe ngumbaru.
Sio kila mtu wa kutishwa akatishika.
Sent using Jamii Forums mobile app