Antonov 225
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 311
- 45
Kifo cha nyani ccm miti yote inateleza. Wezi na wanafiki hukumu yao ni moja
Hapana rafiki, hii mofano unatoa haiko mzuri kabisa, kwani yeye haijaona kuwa hii wasiri ya mambo ya kuwasiliana imekuwa na ngosi kama ya ile mnyama nalukaluka juu ya mti na kula matunda?!, hapana kabisa toa mifano ya namna hii, haipendesi kabisa.
safi sana inatia asira kwa kweli kuwa ni viongozi kama hawa
huyu sijui sendeka ni wa chama gani???
Kweli kabisa,i like the way you think!ukiona mtu anaongea amening'iniza mawani puani akitizama juu ya mawani ni mnafiki na mdanganyaji asiyetumainika.
jamaa ni wa Chama Cha Magamba..google utampata!!!kwa unafiki wake lazima atakuwa mbunge wa ccm na kama si hivyo atakuwa udp kwani hata viongozi wao wakuu ni vigeugeu kama yeye,