Ole Sabaya Yuko Wapi? Kila Mahali Haonekani!

Nime note point moja - Mwanasiasa jambazi.
 
Kwakimombo wanasema ' He is at large'
 
Atakuwa kajificha na lile kundi lake litaibuka kudai chao najua watageukana soon wale nao wana kesi ya kujibu
 
Kajaribu kupatia kiberiti uone kama naongopa. Any way nipo nakunywa mabeir na mambuzi kusherehekea siku 60 aa kuondokana na mateso. Karibu tusherehekee mkuu! Sisi ni sherehe tu maana hakuna namna sasa.
Mkuu naona unapiga za uso, jamaa hana hamu na wewe Idugunde
 
Yuko mahali salama kwa usalama wake
 
Halafu Mataga yanaaminishwa eti Mama anamuenzi jiwe
 
Abrahimovic wabongo huyu ,hatari kelele zote kumbe wizi anayemfanyia ubaya nyerere alitoa msaada anunue gari kipindi kigumu kabisa....viongozi nyie sometimes muwe mnajipa muda kujua historia zawatu

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Abrahimovic wabongo huyu ,hatari kelele zote kumbe wizi anayemfanyia ubaya nyerere alitoa msaada anunue gari kipindi kigumu kabisa....viongozi nyie sometimes muwe mnajipa muda kujua historia zawatu

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Ahaaa, huyu bwege ana nondo gani?
Nipo bia ya 18 nimetawanya mbavu za swala mezani sikuoni mkuu. Au huoni kuwa tumelitua zigo la misumari? Emb jongea tufunge siku 60 aisee. Nipo najikumbushia videos za UTUBE kuangalia namna sukuma gang walivyokuwa wanalialia siku ile! Agrrrrrrrrrrrr kula nyama kula bia......mishe Jiwe......mishe Jiwe......kipindi cha misoto niliungua na jua...wew ukanikazia.....
 
Mkuu nimeku-PM, ukipata taarifa za mahala alipo tushirikishane maana hata na sisi tunahitaji tufanye naye mahojiano mawili matatu
 
Huenda amevuka mpaka anakula bata Nairobi, akisikilizia mwenendo wa mama dhidi yake.
Akisikia habari za mtu aliyepewa mamlaka kuongoza TAKUKURU anaweza kujificha zaidi
Mkuu kwani Sabaya alikuwa na mkwaruzano na boss mpya wa takukuru ?
 
Jana kweli walifungua nyuzi kibao za kuhoji mpaka kutishia mamlaka ya Mh Mama Rais.
Siajabu hata huu uzi, ni wa kwao katika kujikosha, maana watu waliwaparamia na kuwasema wanaharibu zaidi, busara ni kukaa kimya.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Sawa kamanda, subiri kusukumiwa pipe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…