johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,924
- 143,484
Bwashee unajidanganya sana!Hao wote 2025 ndiyo mwisho wao kwenye siasa
Lete ushahidi!Legacy ya kuua watu acheni ujinga nyie watu...
Lengai anashinda rufaa yake keshokutwa.Kwisha habari yao na ujinga wao
Kilichomponza ni kutapatapa kwake na kusema alitumwa na Mamlaka.Ni kosa kubwa Sana kuianika mamlaka hata kama ndo ilikutumaLengai huenda aliwahi kumletea dharau bi mkubwa, katupiwa kwenye mto wenye mamba wengi sasa hivi anagala gala tu
Unaamini kuwa alitapatapa?Kilichomponza ni kutapatapa kwake na kusema alitumwa na Mamlaka.Ni kosa kubwa Sana kuianika mamlaka hata kama ndo ilikutuma
Makonda, Sabaya, Chalamila wameshakwisha. Bado hao 2 na wote wawili ni wa imani moja. What a coincidence🧐🧐Bwashee unajidanganya sana!
Kala ndiyo, suala la kutoka atajua mwenyeweUnaamini kabisa Lengai kala mvua 30?!!!
Lengai anapigwa mvua Kwenye Kesi take inayoendelea MahakamaniLengai anashinda rufaa yake keshokutwa.
Utajua Haujui na utajuta kumfahamu Kaaya!
Kwa hiyo lengai kule jela anafanya nini?Unaamini kabisa Lengai kala mvua 30?!!!
Well said....kama bado wapo ktk system especialy HAPPI sasa ivi ndio muda wa kutafakari whats next baada ya kuwa RC..biashara,kilimo au Elimu ya SIASA au arudi CCM kutengeneza networkHao wote 2025 ndiyo mwisho wao kwenye siasa
Legacy is legacy......itakumbukwa tuuu kipindi icho kilikuwa na doa la aina yakeLete ushahidi!
Kaaya nomaLengai anashinda rufaa yake keshokutwa.
Utajua Haujui na utajuta kumfahamu Kaaya!
alimtongoza itakua ama dharau fulani kwamamaLengai huenda aliwahi kumletea dharau bi mkubwa, katupiwa kwenye mto wenye mamba wengi sasa hivi anagala gala tu