Ole Sabaya kaonewa sana

Sabaya amekuwa mbuzi wa kafara kama tunafanya overhaul tuanze na high command wenyewe , watu wasijifanye ni wema Sana kisa wanayo madaraka ...hata hvyo mda utatupa majibu bullshit
Kawaida watu wanakuacha uteseke peke yako kama unapopewa madaraka unavimba kichwa na kumuona kila mtu hana akili.
 
Hatukutaka kuzungumza kwa sababu kesi ilikuwa bado Mahakamani, baada ya hukumu sasa tupo huru kuongea.

Siamanishi kwamba Mahakama haijamtendea haki Sabaya bali naamanisha kwamba si Sabaya peke yake yapo makumi kwa mamia ya chain ya UVCCM waliotesa Watanzania kikatili kwa sababu ya nafasi zao.

Leo imekuwaje iwe Ole Sabaya tu? Kawaida ya wana CCM hujiona wameimaliza Dunia,na hakuna kama wao,wanaamini Tanzania ni mali ya CCM na si Watanzania wote.

Sabaya angejua kuwa yupo Mungu anayelipa kwa haki kutokana na matendo yetu asingejaribu kutesa watu vile.

Hakuwa Sabaya pekee yake ,wapo wengi tu akiwemo na Makonda,kwani mmesahau jinsi alivyovamia kituo cha Clouds ?
Inadaiwa alishiriki pia kumpoteza Ben Saanane.

Sasa iweje Sabaya tu ndo mbaya? CCM ni kichaka cha wahalifu wa Tanzania,ukitaka kufanya maovu ili uwe salama kimbilia CCM.

Ni CCM pekee Duniani pote ambako kuna watu Bilioni ni viji cent na hela ya mboga tu.

Kuna jambo baya Sabaya aliwafanyia vigogo wa CCM ndo maana yamemkuta.
Bila hivyo angekuwa salama tu.
Hii ni takataka
 
Ametendewa uchakachuaji kama wanavyochakachua wao
 
Back
Top Bottom