Ole Sabaya kaonewa sana

Ole Sabaya kaonewa sana

Rubbish

Kwahiyo kama kuna majmbazi elfu moja
Akikamatwa mmoja aachwe?

Hao wengine wewe Una ushahidi wa kupeleka mahakamani wakahukumiwa au
Umesikia?..

Hata kama kuna majmbazi milioni hawajakamatwa...akikamatwa mmoja apewe Haji yake ya kifungo..
Ni kweli kabisa CCM ni chama cha majambazi na UVCCM na jeshi na polisi ni vikosi mahususi kwa jina la wasiojulikana. Mwenyekiti wa CCM kwa kofia ya urais ndiye anatoa maekekezo ya ukatili wote.
Naamini ya 7ya ni mwanzo tu.
 
Hatukutaka kuzungumza kwa sababu kesi ilikuwa bado Mahakamani, baada ya hukumu sasa tupo huru kuongea.
Siamanishi kwamba Mahakama haijamtendea haki Sabaya bali naamanisha kwamba si Sabaya peke yake yapo makumi kwa mamia ya chain ya UVCCM waliotesa Watanzania kikatili kwa sababu ya nafasi zao.
Leo imekuwaje iwe Ole Sabaya tu? Kawaida ya wana CCM hujiona wameimaliza Dunia,na hakuna kama wao,wanaamini Tanzania ni mali ya CCM na si Watanzania wote.
Sabaya angejua kuwa yupo Mungu anayelipa kwa haki kutokana na matendo yetu asingejaribu kutesa watu vile.
Hakuwa Sabaya pekee yake ,wapo wengi tu akiwemo na Makonda,kwani mmesahau jinsi alivyovamia kituo cha Clouds ?
Inadaiwa alishiriki pia kumpoteza Ben Saanane.
Sasa iweje Sabaya tu ndo mbaya? CCM ni kichaka cha wahalifu wa Tanzania,ukitaka kufanya maovu ili uwe salama kimbilia CCM.
Ni CCM pekee Duniani pote ambako kuna watu Bilioni ni viji cent na hela ya mboga tu.
Kuna jambo baya Sabaya aliwafanyia vigogo wa CCM ndo maana yamemkuta.
Bila hivyo angekuwa salama tu.
Nenda kisongo kamsaidie miaka mitano
 
Nakubaliana na hili:

Kuna jambo baya Sabaya aliwafanyia vigogo wa CCM ndo maana yamemkuta.
Bila hivyo angekuwa salama tu.

Ila kwamba Sabaya kaonewa sikubaliani nalo kabisa! Amefanya maovu mengi hayo yaliyofikishwa mahakamani ni machache mno!

Chawa wa Sabaya waneanza kuweweseka.
 
Rubbish

Kwahiyo kama kuna majmbazi elfu moja
Akikamatwa mmoja aachwe?

Hao wengine wewe Una ushahidi wa kupeleka mahakamani wakahukumiwa au
Umesikia?..

Hata kama kuna majmbazi milioni hawajakamatwa...akikamatwa mmoja apewe Haji yake ya kifungo..
Kichefuchefu
 
Huko sio kuonewa ,hakuna kujificha kwenye kundi au mkumbo ukinaswa unawajibishwa wewe kama wewe sio swala la mbona x hajafanyiwa kama mimi.

Kama una ushahidi wa hao wengine wafikishe mahakamani sheria ichukue mkondo wake sio kulia Lia humu.
 
Sabaya amekuwa mbuzi wa kafara kama tunafanya overhaul tuanze na high command wenyewe , watu wasijifanye ni wema Sana kisa wanayo madaraka ...hata hvyo mda utatupa majibu bullshit
Keshakula nyundo 30 ,porojo zingine hazitakusaidia wewe pamoja na Sabaya.
 
Uko sahihi kabisa, Sabaya amechukuliwa hatua kwa sababu ni mhalifu aliyehitiliafiana na wahalifu wenzake wa ccm. Na uhalifu wa Sabaya ulikuwa na baraka zote za muhalifu mkuu ambaye alikuwa ni Magufuli.
Noma sana !
 
Nakubaliana na hili:

Kuna jambo baya Sabaya aliwafanyia vigogo wa CCM ndo maana yamemkuta.
Bila hivyo angekuwa salama tu.

Ila kwamba Sabaya kaonewa sikubaliani nalo kabisa! Amefanya maovu mengi hayo yaliyofikishwa mahakamani ni machache mno!
Jambo gani tutajie..Alikuwa hajui kwamba hao ni vigogo na yeye sisimizi? Ukiwa huna akili unstumiw kama ndom ni nyundo tuu.
 
Hatukutaka kuzungumza kwa sababu kesi ilikuwa bado Mahakamani, baada ya hukumu sasa tupo huru kuongea.
Siamanishi kwamba Mahakama haijamtendea haki Sabaya bali naamanisha kwamba si Sabaya peke yake yapo makumi kwa mamia ya chain ya UVCCM waliotesa Watanzania kikatili kwa sababu ya nafasi zao.
Leo imekuwaje iwe Ole Sabaya tu? Kawaida ya wana CCM hujiona wameimaliza Dunia,na hakuna kama wao,wanaamini Tanzania ni mali ya CCM na si Watanzania wote.
Sabaya angejua kuwa yupo Mungu anayelipa kwa haki kutokana na matendo yetu asingejaribu kutesa watu vile.
Hakuwa Sabaya pekee yake ,wapo wengi tu akiwemo na Makonda,kwani mmesahau jinsi alivyovamia kituo cha Clouds ?
Inadaiwa alishiriki pia kumpoteza Ben Saanane.
Sasa iweje Sabaya tu ndo mbaya? CCM ni kichaka cha wahalifu wa Tanzania,ukitaka kufanya maovu ili uwe salama kimbilia CCM.
Ni CCM pekee Duniani pote ambako kuna watu Bilioni ni viji cent na hela ya mboga tu.
Kuna jambo baya Sabaya aliwafanyia vigogo wa CCM ndo maana yamemkuta.
Bila hivyo angekuwa salama tu.
Muda wake ulikua umefika, kila jambo (MTU) na majira yake
 
Nimegundua weng wanaosema sabaya kaonewa ni washirika wake wa kutoka kanda yake, kuna lip la kulalamika? Mahakama imetenda haki tuache kuingilia uhuru wa mahakama

Kama kuna uonevu hapa jf si sehemu ya kulalamika kuna hatua za kisheria za kufuata, otherwisize haya ni majungu na kutaka kuchonganisha wananchi kwa itikadi zao pamoja na mahakama,

Nashauri mod madam kama hizi ni za kuondoa ni uchafu kma uchaf mwingine
Ukisoma vizuri utamuelewa mtoa post, hasemi kwamba kaonewa na mahakama ila yeye wamemtoa kama mbuzi was kafara, yaani wahalifu wapo wengi sana so wawafuatilie na wengine
 
Hatukutaka kuzungumza kwa sababu kesi ilikuwa bado Mahakamani, baada ya hukumu sasa tupo huru kuongea.
Siamanishi kwamba Mahakama haijamtendea haki Sabaya bali naamanisha kwamba si Sabaya peke yake yapo makumi kwa mamia ya chain ya UVCCM waliotesa Watanzania kikatili kwa sababu ya nafasi zao.
Leo imekuwaje iwe Ole Sabaya tu? Kawaida ya wana CCM hujiona wameimaliza Dunia,na hakuna kama wao,wanaamini Tanzania ni mali ya CCM na si Watanzania wote.
Sabaya angejua kuwa yupo Mungu anayelipa kwa haki kutokana na matendo yetu asingejaribu kutesa watu vile.
Hakuwa Sabaya pekee yake ,wapo wengi tu akiwemo na Makonda,kwani mmesahau jinsi alivyovamia kituo cha Clouds ?
Inadaiwa alishiriki pia kumpoteza Ben Saanane.
Sasa iweje Sabaya tu ndo mbaya? CCM ni kichaka cha wahalifu wa Tanzania,ukitaka kufanya maovu ili uwe salama kimbilia CCM.
Ni CCM pekee Duniani pote ambako kuna watu Bilioni ni viji cent na hela ya mboga tu.
Kuna jambo baya Sabaya aliwafanyia vigogo wa CCM ndo maana yamemkuta.
Bila hivyo angekuwa salama tu.
Kila mtuhumiwa anahukumiwa kwa makosa yake aliyoyatenda. Huyu tayari kahukumiwa na bado Ile kesi nyingine inamwendea kombo.
 
Hatukutaka kuzungumza kwa sababu kesi ilikuwa bado Mahakamani, baada ya hukumu sasa tupo huru kuongea.

Siamanishi kwamba Mahakama haijamtendea haki Sabaya bali naamanisha kwamba si Sabaya peke yake yapo makumi kwa mamia ya chain ya UVCCM waliotesa Watanzania kikatili kwa sababu ya nafasi zao.

Leo imekuwaje iwe Ole Sabaya tu? Kawaida ya wana CCM hujiona wameimaliza Dunia,na hakuna kama wao,wanaamini Tanzania ni mali ya CCM na si Watanzania wote.

Sabaya angejua kuwa yupo Mungu anayelipa kwa haki kutokana na matendo yetu asingejaribu kutesa watu vile.

Hakuwa Sabaya pekee yake ,wapo wengi tu akiwemo na Makonda,kwani mmesahau jinsi alivyovamia kituo cha Clouds ?
Inadaiwa alishiriki pia kumpoteza Ben Saanane.

Sasa iweje Sabaya tu ndo mbaya? CCM ni kichaka cha wahalifu wa Tanzania,ukitaka kufanya maovu ili uwe salama kimbilia CCM.

Ni CCM pekee Duniani pote ambako kuna watu Bilioni ni viji cent na hela ya mboga tu.

Kuna jambo baya Sabaya aliwafanyia vigogo wa CCM ndo maana yamemkuta.
Bila hivyo angekuwa salama tu.
SABAYA JAMBAZI SUGU
 
Akili za kuvukia barabara
 
Rubbish

Kwahiyo kama kuna majmbazi elfu moja
Akikamatwa mmoja aachwe?

Hao wengine wewe Una ushahidi wa kupeleka mahakamani wakahukumiwa au
Umesikia?..

Hata kama kuna majmbazi milioni hawajakamatwa...akikamatwa mmoja apewe Haji yake ya kifungo..
Mtanzania kwa kupenda kulalamika anaongoza afrika nzima. Sabaya alikuwa anaamuru watu wapigwe misumari ya miguuni kama Yesu alivyofanyiwa na ushahidi upo.

Madogo kina Sabaya na Makonda walijisahau.
 
Back
Top Bottom