Olduvai Gorge, Michoro, Nyayo; Sayansi vs Dini

majebsmafuru

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
463
Reaction score
649
Tanzania tuna michoro Iringa na kwa warangi, tuna Olduvai Gorge, yenye kila aina ya vivutio na historia ya kudhihirisha binadamu walikuwa jamii ya nyani au sokwe, ndipo wakaanza kutembea, kupoteza manyoya, kubadilika "features", ubongo kukuwa, kupata maendeleo na kadhalika.

Tatizo wazungu hasa wanasayansi ndio wanasema hivi, wanadai mpaka vithibiti vipo kwamba tulikuwa wanyama na kubadilika kuwa binadamu.

Tanzania nasi twajitahidi kutunza hivi vivutio vya kitalii na kisayansi kama Wamisri...
Upande mwingine tena Mwarabu na Mzungu wanadai Mwenyezi Mungu aliumba dunia siku 7! Wote tumesoma maandiko haya kwenye Agano la Kale na kwamba akaumba binadamu wawili Adam na Eve..

Sisi Watanzania hasa, kipi cha kuamini kati ya haya tulioletewa, kwamba tulikuwa nyani au tuliumbwa?!

Ila yote naona twafaidika nayo, ila kama hili Taifa lina waumini wa Kiislamu na Kikristo kweli kuna haja na kuwa na hivi vivutio?! Hamuoni kama twajichanganya imani zetu au imani tulizoletewa na wenyewe?!

Je wakija tena na lingine hawa Wazungu au Waarabu je tutatupa haya madini yao na vivutio, kuanza kuamini mapya sababu wamesema wao?!

Na kama tunaamini hayo yote basi tukubaliane na zile thread humu kwamba Mzungu na Mwarabu wana akili kuliko sisi, wasemacho ndicho tunachoamini, abudu, ndio maisha yetu!
AU?!
 
Mimi Nina swali moja.
Wakati waafrika walipokuwa manyani
Wazungu wao walikuwa akina nani?watu kamili au na wao walikuwa ni manyani?
na kwanini waseme binadamu Wa kwanza alikuwa nyani.je huyo nyani Wa kwa kwanza ndo Alikuwa Adam?
 
Tanzania tuna michoro Iringa na kwa Warangi, tuna Olduvai Gorge, yenye kila aina ya vivutio na historia ya kudhihirisha binadamu walikuwa jamii ya nyani au sokwe, ndipo wakaanza kutembea, kupoteza manyoya, kuabadilika "features", ubongo kukuwa, kupata maendeleo na nakadhalika.
Tatizo wazungu hasa wanasayansi ndio wanasema hivi, wanadai mpaka vithibiti vipo kwamba tulikuwa wanyama na kubadilika kuwa binadamu.
Tanzania nasi twajitahidi kutunza hivi vivutio vya kitalii na kisayansi kama Wamisri...
Upande mwingine tena Mwarabu na Mzungu wanadai Mwenyezi Mungu aliumba dunia siku 7! Wote tumesoma maandiko haya kwenye Agano la Kale na kwamba akaumba binadamu wawili Adam na Eve..
Sisi Watanzania hasa, kipi cha kuamini kati ya haya tulioletewa, kwamba tulikuwa nyani au tuliumbwa?!
Ila yote naona twafaidika nayo, ila kama hili Taifa lina waumini wa Kiislamu na Kikristo kweli kuna haja na kuwa na hivi vivutio?! Hamuoni kama twajichanganya imani zetu au imani tulizoletewa na wenyewe?!
Je wakija tena na lingine hawa Wazungu au Waarabu je tutatupa haya madini yao na vivutio, kuanza kuamini mapya sababu wamesema wao?!
Na kama tunaamini hayo yote basi tukubaliane na zile thread humu kwamba Mzungu na Mwarabu wana akili kuliko sisi, wasemacho ndicho tunachoamini, abudu, ndio maisha yetu!
AU?!
Sitaki kuamini, nataka kujua.
 
Mimi Nina swali moja.
Wakati waafrika walipokuwa manyani
Wazungu wao walikuwa akina nani?watu kamili au na wao walikuwa ni manyani?
na kwanini waseme binadamu Wa kwanza alikuwa nyani.je huyo nyani Wa kwa kwanza ndo Alikuwa Adam?

Wao wazungu wakati huo walikuwa Orungutan
Orangutan - Wikipedia
 
Kumbuka sisi na wazungu hatuna tofauti kimaumbile.
Ukisema binadamu Wa kwanza alikuwa nyani.bas wazungu nao walikuwa nyani
Orungutan nao ni manyani sema wana wajihi wa kizungu
 
Wao wazungu wakati huo walikuwa Orungutan
Orangutan - Wikipedia
Kwa mfano angalia kwenye Quran.binadamu Wa kwanza anaonekana ni Adam.tena anaonekana akiwa na akili timamu.akapewa mpaka na mke ambaye ni HAWA.
f36d8539224a01ab8028fa4f06af7ea4.jpg
1cf9cfeb1341b0e46f8c18a21afde672.jpg
 
Orungutan nao ni manyani sema wana wajihi wa kizungu
Sawa.soma Quran ilivyofundisha.hakuna iliposema Adam alikuwa ni sokwe.Bali alikuwa ni Adam kamili.aliyezaa watoto wake Wa kwanza Cain na habil mpaka mmoja akamuua mwenzie.hii inaonyesha dhahiri hawakuwa masokwe.na wala hawakuishi Tanzania.
 
Mimi Nina swali moja.
Wakati waafrika walipokuwa manyani
Wazungu wao walikuwa akina nani?watu kamili au na wao walikuwa ni manyani?
na kwanini waseme binadamu Wa kwanza alikuwa nyani.je huyo nyani Wa kwa kwanza ndo Alikuwa Adam?
Hujaelewa maelezo, mtoa mada amesema binadamu wa keanza alikua na ASILI/Ufanano na manyani na masokwe sionkwamba alikua sowe wala nyani.Kwa maana nyingine ni kwamba we were cousin of...
 
Waafrica tulikuwa apes wazungu walikuwa orangutan
 
Mbona nyani wa sasa hivi hawabadiliki kuwa binadamu? Evolution imeishia wapi na kwa nini?
Carter badiliko huwezi liona kwa macho ukiwa hai.Mfano babu ya babu ya babu yako hajawahi muona si ajabu alikuwa giant na alikuwa na mataya makubwa kuliko yako lakini wewe hujui maana hujaona
 
Hujaelewa maelezo, mtoa mada amesema binadamu wa keanza alikua na ASILI/Ufanano na manyani na masokwe sionkwamba alikua sowe wala nyani.Kwa maana nyingine ni kwamba we were cousin of...
Nani alimuona!?
 
Kwa mfano angalia kwenye Quran.binadamu Wa kwanza anaonekana ni Adam.tena anaonekana akiwa na akili timamu.akapewa mpaka na mke ambaye ni HAWA.
f36d8539224a01ab8028fa4f06af7ea4.jpg
1cf9cfeb1341b0e46f8c18a21afde672.jpg
Hadithi za kusadikika. Evolution. Kwenye hivi vitabu hakuna Scientific proof kuwa hawa watu wawili walikuwepo. Ni hadithi za kukufanya ujione wewe tofauti na viumbe wengine. Je, mbona kwenye biblia au kurani hakua panapotaja Dinosaur wakati tuna vizibiti kuwa walikuwepo millions of years kabla ya binadamu. Mamba, chura na samaki wana umri kabla ya binadamu.
 
Back
Top Bottom