Old Tanzania coins and notes for sale.

Old Tanzania coins and notes for sale.

MansaMusa

Senior Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
103
Reaction score
13
Its is Tanzania currency
1. Shilingi 5 of 1978 (Mbele ina Mwalimu Nyerere na reverse ina trekta) ni ya SILVER.

2. Noti ya Shilingi 100( Ina picha ya Masai ameshika mkuki, redio, ng'ombe na mbele ina picha ya Mwl. Nyerere).

Nipo Iringa, Ni inbox kwa maelezo zaidi.
 
  • Thanks
Reactions: MC7

Tuku in box kwani hiyo biashara ni siri? weka picha na bei.
 
Its is Tanzania currency
1. Shilingi 5 of 1978 (Mbele ina Mwalimu Nyerere na reverse ina trekta) ni ya SILVER.

2. Noti ya Shilingi 100( Ina picha ya Masai ameshika mkuki, redio, ng'ombe na mbele ina picha ya Mwl. Nyerere).

Nipo Iringa, Ni inbox kwa maelezo zaidi.
Nikishanunua nazifanyia nini?
 
Wewe ni tapeli ,kuna uzi humu kuna mtu anajifanya anazihitaji.mimi nafikiri ni huyuhuyu mmoja .kajifanya anazihitaji then kaitumia id nyingine kujifanya anauza utapeli wa kizamani hamumpati mtu,
 
kama vipi ajiuzie mwenyewe

Hi enzi za dijitali jamaa bado anatumia utapeli wa Analogia.
 
hizi noti ni deal sana kwa mambo ya kijadi hasa ukipata za mjerumani kama rupia na hata bidhaa zake kama pasi na nk ni deal sana kwa mambo ya kijadi
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Its is Tanzania currency
1. Shilingi 5 of 1978 (Mbele ina Mwalimu Nyerere na reverse ina trekta) ni ya SILVER.

2. Noti ya Shilingi 100( Ina picha ya Masai ameshika mkuki, redio, ng'ombe na mbele ina picha ya Mwl. Nyerere).

Nipo Iringa, Ni inbox kwa maelezo zaidi.
Kama unazo kwel nibeep....0718505991
 
kamwene bee..
nitafutie nyingi za zamani hata za nchi za nje nikipata gunia tutapiga hela....npm
 
Wewe ni tapeli ,kuna uzi humu kuna mtu anajifanya anazihitaji.mimi nafikiri ni huyuhuyu mmoja .kajifanya anazihitaji then kaitumia id nyingine kujifanya anauza utapeli wa kizamani hamumpati mtu,

Ha ha ha unanifurahisha ndugu, usijali kama umejua tapeli ni vizuri pia, hili ni soko huria ukiona biashara ya ain fulan huijui wakaa kimya.
 
mi ninazo but niko mbeya zipo nyingi ntatuma picha sooon
 
Wewe ni tapeli ,kuna uzi humu kuna mtu anajifanya anazihitaji.mimi nafikiri ni huyuhuyu mmoja .kajifanya anazihitaji then kaitumia id nyingine kujifanya anauza utapeli wa kizamani hamumpati mtu,
Ni mimi ndio nilianzisha thread ya kuhitaji currency ziliondolewa kwenye mzunguko, not affiliated to huyu mdau anaeuza hizo alizotaja,na bado nina uhitaji...kama unaona ni utapeli basi jiepushe nao tu kwa kuendelea kubaki nazo au kuufahamisha umma mawazo yako hasi
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom