Old School Special Thread

View attachment 390381

Eh bwana hawa jamaa...aise kuna mtu ameona muvi ya maisha yao imeektiwa ya mwaka huu

Mkuu movie yao inaitwa straight outa compton, ni documentary ya harakati zao za kimuziki.

Walipotoa ngoma yao ya f**k the police ndipo umaarufu wao uliongezeka, jambo la kusikitisha Eazy E ambae alikua kiongozi wa kundi alikufa kwa ngoma.
 
Yes mkuu nilikuja kuiona hio muvi ni nzur sana
waliekt.uhalisia kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…