Old School:Karibuni tukumbushie Makundi ya zamani ya Hip Hop/Bongo Fleva na Hits songs za zamani tu

Da young mob!Alikoanzia 2 proud a.k.a Sugu.

Niggaz 2 public waliimba"fikiri chini vijana kuwa makini"watoto wa kurasini.Hii ni mwaka 1995.

Family Thang,walitoa track yao "wakati wa kujirusha sasa,
Utakoma utahenya na kisasa"
Unakwenda wapi Bukoba,
Imebaki migomba"1995

Sos B,"kukuru kakara zako wewe,
Zitakuponza wacha wee,wacha wee.
 
B.D.P. ... kitambo kidogo, chondechonde mpenzi

MANZESE CREW ... kula kona,

CAPITAL LETTERS ... tumechill

FREE DOGZ CAMPA ...
 
Wadau natafuta wimbo ulioimbwa Na chuchu sound, unaitwa kusema sema kubaya. Nimeutafuta bila mafanikio naomba mwenye nao anisaidie. Ndani ya wimbo yupo Omary Mkali na Mao Santiago. Tafadhali naomba mwenye nao plz plz!
 
Naomba niwakumbushe kidogo...miaka ya 90s kulikuwepo na jamaa mmoja ambae mimi ndio naamini kama mwanzilishi wa hip pop hapa tanzania..

Watu wengi wamemsahau kabisa hata tuzo na heshima kama mtu aliye leta hamasa kwa vijana wengi kuanzisha makundi na mpaka sasa akina diamond kushika hatamu nchini ,
Mtu huyu kwa sisi vijana wa miaka hiyo tulimtunga jina la mtoto wa camp chea si mwingine ni swakeh jabili (Sina uhakika kama ana undugu na salama jabili)

Huyu swalehe jabili alikuwa na ngoma kadhaa ambazo alikopi beat kutoka kwa wasanii wakubwa kama akina vanilla ice mc hammer na wengine kibao...

Enzi hizo kulikuwa na kubao kimoja matata sana ambacho kilimuongelea maumba ambae alipenda sana wasichana wanafunzi...
Nitarudi ngoja nikumbuke
 
Chelea pina
 
Kwanza unit
Xplastaz
Diplomatz
HBC
Gwm
Lwp
Gangwe mob
KIKOSI
Mabaga fresh
Uswahilini matola
Sinza star etc etc
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom