Toa ujinga wako hapa. We are speaking of music na sio hizo ngonjera.WCB wasafi
Hahahahaa waliopiga huo wimbo kama sijakosea ni Gangwe Mobb.Mauza uza, aah, mauza uza mambonzigi zaga, shaghalabaghala - Solid Ground Family
Chelea pinaNaomba niwakumbushe kidogo...miaka ya 90s kulikuwepo na jamaa mmoja ambae mimi ndio naamini kama mwanzilishi wa hip pop hapa tanzania..
Watu wengi wamemsahau kabisa hata tuzo na heshima kama mtu aliye leta hamasa kwa vijana wengi kuanzisha makundi na mpaka sasa akina diamond kushika hatamu nchini ,
Mtu huyu kwa sisi vijana wa miaka hiyo tulimtunga jina la mtoto wa camp chea si mwingine ni swakeh jabili (Sina uhakika kama ana undugu na salama jabili)
Huyu swalehe jabili alikuwa na ngoma kadhaa ambazo alikopi beat kutoka kwa wasanii wakubwa kama akina vanilla ice mc hammer na wengine kibao...
Enzi hizo kulikuwa na kubao kimoja matata sana ambacho kilimuongelea maumba ambae alipenda sana wasichana wanafunzi...
Nitarudi ngoja nikumbuke