Huo ndio old? Unajua Oldies wewe?
Maarufu - Hamza Kalala
Christina Moshi - OSS
Kupatwa kwa Mwezi - Mwenge Jazz
Gaba - OSS
Rehema - Mwenge Jazz
Maliza na zilipendwa ya Klyeruu - Muba Mwin'y shehe
Ila uache kumuibia Gurumo, nenda pale Ubungo External nyumbani kwake akakuuzie acha kumuibia. Na yeye ana haki ya kutesa kama Diamond