Kuna sie wahenga wa kitambo ambao hizi mlizoweka tunaziona ni za juzi juzi.
Yaani sie tunasubiria nyimbo kama
1) Afroreign - Jiji la Bongo.
2) Saleh Jabir - Remix zake zote, Nyimbo kiswahili Ila beats za nje.
3) Sugu ft. Mr. Paul - Yoyote, Popote
4) W10N - Makalateli
5) ........ Mauza uza (Mambo Zig zag)
6) .... ft. Maua - Mwanza Zirekebishwe barabara.
7) ..... - Puff after Puff (Crazy Crazy)
8) Mr. Able - Love (R&B ya kizungu)
9) Sugu - Wapi tunakwenda
10) Baggz Malone/KU Crew - Utaona
Sisi tunasaidiwaje sasa?
Labda uandike ngoma nyingine unazozihitaji nione kama nitakua nazo.Dah,
Ahsante Sana Mkuu,
Unazo zip zingine?
Long Time Sana Soggy akiwa na Bount Pound - Caz TSoggy dogg - i love you
Nmeutafta huu wmbo bla mafanikio
Shukrani Mkuu ,Huo wa GK - Mama naona ni mwingine,mie nilikuwa nahitaji ule alioimba na Fina Mango - Nikupe nini Mama.
Ile thread nimeitendea haki sana. Ipo humu. Title yake inanitoka.
Hizi nyimbo naona hazpatikanLong Time Sana Soggy akiwa na Bount Pound - Caz T
1. Soggy ft Unique Sisters - I Luv U 2(I need U 2)
2.Soggy ft Remmy Ongara - Kifo