Okwi mwisho Chalinze

Okwi mwisho Chalinze

Msemaji wa mtibwa amesema leo watamkomesha JAJA.. hapa naamini kwamba mabeki wote watahamia kwake na kuwaacha ngasa, msuva wakipiga magoli halafu baadae wamlaumu mwamuzi!

Kweli mkuu leo kafanya hivyo? Msuva kuber( Ngasa) wamefung
 
hivi Drogba yeye anachezaje? Drogba bana Ni hodari wa kupiga chenga,kukimbia anatafuta mipira mwenyewe,anakaba,anatafuta mipira mwenyewe, anakimbiza kwa kazi sana na anafunga magori. Mpira magoli, hata mkijifunga wenyewe timu pinzani inashinda. Pamoja na kusimama kwake na kuvizia Jaja alipiga mbili.

Hapo ndio tofauti yetu ya mitizamo, ninyi mnazungumzia matokeo uwanjani hata kama timu au mchezaji hawachezi vizuri
ili mradi anashinda basi .Wengingi tunazungumzia uwezo wa mchezaji uwanjani, hata ukitoa kiingilio ukaingia mpirani utaburudika. unaposema mpira ni magoli maana yake unajali matokeo na huna haja ya kwenda hata mpirani maana matokeo utasikia tu na hata ukienda utanuna tu hadi goli liingie.

Hata hivyo sasa naona matokeo ya Morogoro yatatuliza mzuka.
 
Ina maana gani ucheze vizuri halafu usishinde? Matokeo ya Morogoro Ni sehemu ya matokeo ya mchezo - kushinda, kushinwa ama kutoka suruhu, hongereni kwa game la Leo
Hapo ndio tofauti yetu ya mitizamo, ninyi mnazungumzia matokeo uwanjani hata kama timu au mchezaji hawachezi vizuri
ili mradi anashinda basi .Wengingi tunazungumzia uwezo wa mchezaji uwanjani, hata ukitoa kiingilio ukaingia mpirani utaburudika. unaposema mpira ni magoli maana yake unajali matokeo na huna haja ya kwenda hata mpirani maana matokeo utasikia tu na hata ukienda utanuna tu hadi goli liingie.

Hata hivyo sasa naona matokeo ya Morogoro yatatuliza mzuka.
 
"yanga ni sawa na mti wa maembe uliopo uani kwangu, nikijisikia hamu natoka nje na kuchuma" - Jamhuri Julio
 
Yanga!


10362641_1497179460523208_5819440225363404231_n.jpg
 
Back
Top Bottom