Okwi atua Dar muda huu.

OKWII IKIPOKELEWA JNA muda huu

YAAN Watanzania ni mazuzu sana!!!!!!!! Waandishi wa habari wa Bongo ni mamburura tupu!! Simba wanalalamikia hela za OKWI, lakini ukweli uko wazi, wanaonunua wachezaji ni vibopa na si vilabu...Mimi namsikitia sana OKWI yaani kafika Form six anarudi darasa la saba!!
 
....tunawaweka sawa akina MKUDE, SINGANO na CHANONGO siku wakiwalambisha 5-0 nao mtawatafuta. Okwi hawezi kufuta historia iliyokwisha andikwa.
 
Kama yeye ndiye aliyeiandika, kwa nini asiifute? Kwa magolikipa mlio nao mtapigwa hata 6! Berko atajifanya ameumia ataingia Mapunda kisha mvua ya magoli itamnyeshea, 'atalokota' hadi akome.
 
Simba Daima mbele... Pamoja na stress Rage anazotupa tutashinda
 
Duh! Pole sana mkuu wangu, Bongo upo SIMBA halafu England upo MAN U. Kweli msimu huu unahitaji roho ya paka kuhimili hivi vitu.
 
Ni kweli kama upande mmoja una furaha bila shaka upande mwingine una maumivu. Sasa Mkuu OKW BOBAN SUNZU haka kajina katakuwaje? Nashauri uitwe Tambwe Kiemba Mapunda. Unauonaje huu ushauri?

ha ha ha ha ITEGAMATWI njoo ucheke huku, ha ha ha ha ha. MAKOYE utanivunja mbavu.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana mkuu...

Ila nakushauri tu ili uache kuumia badili na jina lako hili maana Okwi hayupo Simba, Boban hayupo Simba na hata Sunzu alishaondoka siku nyingi.....

Pole sana aisee...

umeliona jina alilompa Makaye? Eti aitwe TAMBWE KIEMBA MAPUNDA ha ha ha.
 
View attachment 127784
Simba Daima mbele... Pamoja na stress Rage anazotupa tutashinda

Katika wenyeviti waliwahi kuidhalilisha Simba huyu Rage anaongoza!!!

  • Bobani
  • Twite na kulialia juu
  • Sasa Okwi....
  • Kupendapenda rufaa na malalamiko...
Rage ni mpuuzi kabisa!
 
Imani uliyokuwa nayo hata Kocha hana.

Kipindi sisi Yanga tukifungwa 5-0 tulikuwa na issue ya Lloyd Nchunga, sasa hivi Simba wana issue ya Rage tena hot kuliko ile ya Nchunga. Kesho ni zamu yao, wametibuana mno, tukiwakosa kesho huenda tusiwapate tena, natabiri Yanga 6-0 Simba.
 
Utabiri wako naukubali sana, ungeandika kuwa 6 kwa 2 au kwa 1 ningeona umeidharau Yanga. Napendekeza kesho tucheze 3-3-4
 
Napenda kujua proposal yako ya wale 4 wa mbele ni akina nani? Kwa mwendo huo jamaa watacheza 10-0-0.
 
Kipindi sisi Yanga tukifungwa 5-0 tulikuwa na issue ya Lloyd Nchunga, sasa hivi Simba wana issue ya Rage tena hot kuliko ile ya Nchunga. Kesho ni zamu yao, wametibuana mno, tukiwakosa kesho huenda tusiwapate tena, natabiri Yanga 6-0 Simba.
Mkuu upoooooooooooo? Simba 3 Yanga 1
 
Kama yeye ndiye aliyeiandika, kwa nini asiifute? Kwa magolikipa mlio nao mtapigwa hata 6! Berko atajifanya ameumia ataingia Mapunda kisha mvua ya magoli itamnyeshea, 'atalokota' hadi akome.
Pole sana Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…