Okwi ajiunga na Azam

Okwi ajiunga na Azam

simba ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo hata bila okwi..umesikia matusi ya ngasa jana..hata hivyo Okwi bado ana mkataba na simba wa miezi zaidi ya 7..

Heko.
Simba Taifa Kubwa.
 
Umenena, TP Mazembe tu imemshinda..ataishia kama Lunyamila.

Jamaa ni levo nyingine. Hakuna mchezaji wa VPL mwenye kiwango kama chake.
Hata kwa Nonda mlichonga ngenga hivyo hivyo, mwishowe mkabaki kujisifu tu, eti alicheza Yanga.

Msije mkajisifia tu baadaye, eti alicheza Tanzania.
 
soma post zangu mkuu mimi sina kwi kwi na Azam fc mbaya wangu ni yanga mfano nikilikosa kombe halfu azam akachukua halafu nishike nafasi ya pili nitacheka sana..hata hivyo habari hizi chanzo chake ni kwenye baa ya gongo na chimpumu huko mara usiziamini.

taarifa zinaweza kuwa kweli maana na shaffih dauda amesema kuwa anahamia kwa jirani zetu kupitia ukurasa wake wa twitter http://www.twitter.com/shaffihdauda1
 
taarifa zinaweza kuwa kweli maana na shaffih dauda amesema kuwa anahamia kwa jirani zetu kupitia ukurasa wake wa twitter http://www.twitter.com/shaffihdauda1

kama nimeshindwa kumwamini mwana JF mwenzangu atakuwa shaffii yaani hapo mpaka nisikie kiongozi wa simba au okwi mwenyewe au nione mkataba aliouvunja na alioingia..
 
soma post zangu mkuu mimi sina kwi kwi na Azam fc mbaya wangu ni yanga mfano nikilikosa kombe halfu azam akachukua halafu nishike nafasi ya pili nitacheka sana..hata hivyo habari hizi chanzo chake ni kwenye baa ya gongo na chimpumu huko mara usiziamini.

kuna jamaa kule FB kasema simba walishamalizana na okwi wakati yericko kaja na hii ya okwi kwenda azam sijui lipi ni lipi..
 
Kama ni hivyo,Simba Kwishineeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!
Kwa kusema hivo unaonyesha ww ni mpenzi wa Yanga. Lkn Bila Simba sijui Yanga itakuwaje na bila Yanga sijui Simba itakuwaje kwa siasa za mpira wa tz
 
kama nimeshindwa kumwamini mwana JF mwenzangu atakuwa shaffii yaani hapo mpaka nisikie kiongozi wa simba au okwi mwenyewe au nione mkataba aliouvunja na alioingia..

kaka hata lile la owino na uhuru nilibisha na mpaka kujakuona kwenye fan page wameandika tena baada ya himid kupiga nae picha mazoezini ikabidi ni we mpole tu hata hili la okwi utasikia bocco au cheche ndio wamebadilishana wewe subiri tu..
 
Kwa kusema hivo unaonyesha ww ni mpenzi wa Yanga. Lkn Bila Simba sijui Yanga itakuwaje na bila Yanga sijui Simba itakuwaje kwa siasa za mpira wa tz

mkuu hizo mambo zishaisha siku hizi wanatafuta nani aanze kufa tu..
 
Simba wananiboa. Wanarusu vp staa km huyo kuondoka kirahisi?
Alikuwepo Mohamed Mwameja akapita sasa tunaye Juma Kaseja. Vipaji haviishi. Mwacheni aende, madogo kina EDO Christopher, Ramadhani Singano watakuza viwango vyao. After all ni vyema kuwapa nafasi wachezaji wetu wazawa kwenye timu zetu ili tuweze kujenga timu nzuri ya Taifa.
 
Umri wap nan kakudanganya au huji kuna miaka ya kwenye PASSPORT ukitaka kujua umri sahihi ya wachezaji we2 muulize shule alianza au kumaliza lin dat y wanakwepa hlo!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Simba wananiboa. Wanarusu vp staa km huyo kuondoka kirahisi?
hayo ni mambo ya mshiko; Azam kama wamefika bei nzuri hawanabudi kumchukua; Simba ina hazina ya Wachezaji mwache Okwi apate changamoto mpya.
 
Jamaa ni levo nyingine. Hakuna mchezaji wa VPL mwenye kiwango kama chake.
Hata kwa Nonda mlichonga ngenga hivyo hivyo, mwishowe mkabaki kujisifu tu, eti alicheza Yanga.

Msije mkajisifia tu baadaye, eti alicheza Tanzania.

Aende sasa, huko Azam ...ndiyo ulaya?
 
Kinachofurahisha ni kwamba kakwepa malapa
 
Hata Yanga wamemuuza mtoto wa kinyarwanda Niyonzima mpira ni biashara jamani acheni wapite watakuja wengine umri nao unawapita wakajaribu kwingine maana mpira wa East Africa haukubaliki sana mbele wanapata team ila daraja la tatu zaidi akijitahidi sana daraja la pili!!
 
Back
Top Bottom