Okwi ajiunga na Azam

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined
Dec 22, 2010
Messages
16,755
Points
2,000

Yericko Nyerere

Verified Member
Joined Dec 22, 2010
16,755 2,000
Mshambuliaji lulu wa klabu ya Simba ya jijini Dar, Emanuel Okwi amejiunga na Klabu ya Azam

Taarifa za kuaminika toka ndani ya Simba na Azama zitabainisha hivyo!
 

Nzi

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Messages
13,797
Points
2,000

Nzi

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2010
13,797 2,000
Kila la kheri kwake.
Jamaa kiwango chake ni kukipiga Ulaya. Hapo Azam naamini ni njia tu; umri pia bado unaruhusu.
 

mwanapolo

Senior Member
Joined
Mar 29, 2011
Messages
194
Points
195

mwanapolo

Senior Member
Joined Mar 29, 2011
194 195
Kama niya kweli hayo basi kwa mtani kunawaka moro.
Ningekuwa mshauri wa Okwi ningemwambia atafute agent mshap akakipige ulaya, ukweli kiwango cha Okwi ni kikubwa
 

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,710
Points
2,000

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,710 2,000
Kama niya kweli hayo basi kwa mtani kunawaka moro.
Ningekuwa mshauri wa Okwi ningemwambia atafute agent mshap akakipige ulaya, ukweli kiwango cha Okwi ni kikubwa
alienda picnic wakaambiwa mashabiki kaenda ulaya kufanya majaribio hata picha hatujaziona..
 

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,194
Points
2,000

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,194 2,000
Simba wananiboa. Wanarusu vp staa km huyo kuondoka kirahisi?
usiwe mwepesi wa kulaumu viongozi wanajua umhimu wa okwi pengine kuliko wewe ikitokea wakashindanwa basi timu pinzani itakuwa imetoa dau kubwa mno..na kwasasa okwi bado anabanwa na mkataba..
 

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,194
Points
2,000

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,194 2,000
Hah hah hah hah hah! Simba kwishney!!! Wapi Crashwise!
nipo hii habari isikupe matumaini maana yanga mnamwogo okwi kama ukoma lakini mkae mkijua kama akienda azam bado atawaliza ningesikitika hata kulia kama okwi angeenda yanga lakini Azam FC hatakama habari hizi zitakuwa za ukwel sitohofu sana
 
Last edited by a moderator:

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
22,194
Points
2,000

Crashwise

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
22,194 2,000
jirani mbona mnavyotuchukulia wachezaji tunauchuna tu..
soma post zangu mkuu mimi sina kwi kwi na Azam fc mbaya wangu ni yanga mfano nikilikosa kombe halfu azam akachukua halafu nishike nafasi ya pili nitacheka sana..hata hivyo habari hizi chanzo chake ni kwenye baa ya gongo na chimpumu huko mara usiziamini.
 

Forum statistics

Threads 1,392,361
Members 528,604
Posts 34,106,634
Top