Oktoba tunatiki!!

Oktoba tunatiki!!

downloadfile.jpg
 
Huo ujumbe utunze kwanza mpaka Januari 2026, tutakuwa tumeishajua mchele na pumba
 
Kwa mm nishathibitisha ni wa kweli kwa kipindi kirefu namfuatiliaga
 
Marko 12:17
"...Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu."

Mimi hata kabla ya Oktoba, yaliyo ya Mungu ninayatiki ✅
  1. Yesu Kristo ni Mwokozi wa ulimwengu ✅
  2. Damu ya Yesu inasafisha dhambi zote ✅
  3. Wokovu haupatikani kwa matendo, bali kwa neema ✅
  4. Biblia ni Neno la Mungu, ni tamu kuliko asali ✅
  5. Msalaba ni msingi wa upatanisho kati yetu na Mungu ✅
  6. Roho Mtakatifu ni Msaidizi na Mwalimu wetu ✅
  7. Kanisa ni mwili wa Kristo duniani ✅
  8. Jina la Yesu lina nguvu ya kufukuza mapepo ✅
  9. Yesu atakuja tena kwa utukufu ✅
  10. Wanaomwamini Yesu wataurithi uzima wa milele ✅
Creativity
 
Jinga
 
Back
Top Bottom