GE2025 Oktoba 29 tukubaliane tutatoka na hii ngoma?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
843
Reaction score
1,603

"Safusafu wanapita, wamejaa kwenye mitaa na mabango wameshika,
wanalilia katiba yao, wanalilia nchi yao, wanalilia tume huru.

Na polisi wanajigamba ehee, kuzuia maandamano. X2
watawaua na wenzao, watatuvunja na miguu ndivyo walivyosema.

Nchi imetiwa giza, macho yana kiu ya nuru.
Kumbe si demokrasia kumbe ni demoghasia."

Muite Vitali Maembe,...Kibao kinakwenda kwa jina la VUMA.
 
Vitali Maembe ni bro wangu kabisa anajua kupiga gitaa balaa

Alkuwa anatuimbia live siku moja kabla hawasepa mamtoni enzi hizo sema tu muda harudi nyuma

Kiufupi huyu Bro ana nyimbo nyingi ambazo azipigwi kwenye media.

#TUTAKOKA.
 
"Safusafu wanapita, wamejaa kwenye mitaa na mabango wameshika,
wanalilia katiba yao, wanalilia nchi yao, wanalilia tume huru.

Na polisi wanajigamba ehee, kuzuia maandamano. X2
watawaua na wenzao, watatuvunja na miguu ndivyo walivyosema.

Nchi imetiwa giza, macho yana kiu ya nuru.
Kumbe si demokrasia kumbe ni demoghasia."

Muite Vitali Maembe,...Kibao kinakwenda kwa jina la VUMA.
Itafute ngoma moja inaitwa NAHODHA!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom